Ibaada ya misa ya wafu kwa mwendazake Prof Magoha yandaliwa Nairobi kabla ya mazishi jumamosi

 BY ISAYA BURUGU,9TH FEB,2023-Ibada ya Misa ya wafu kwa aliyekuwa Waziri wa elimu marehemu George Magoha imeandaliwa leo katika kanisa la Consolata shrine mtaani Westalands jijini Nairobi .Ibaada hiyo iliyongozwa na askofu mkuu wa jimbo kuu la Nairobi Philip Anyolo imehudhuriwa na…

IG Japhet Koome akana kutuma polisi kumkamata Matyang’i

BY ISAYA BURUGU 9TH FEB,2023-Inspekta Jenerali wa polisi Japhet Koome siku Alhamisi alikanusha madai kwamba maafisa wake walienda kwenye nyumba ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiangí huko Karen.Alisema aliangalia na kugundua kwamba hakuna operesheni kama hiyo iliyoidhinishwa na idara…

Aliyekuwa Waziri wa Elimu Marehemu Prof. George Magoha aagwa kwa njia ya kipekee kabla ya mazishi.

Mamia ya waombolezaji walipata muda wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Elimu nchini Marehemu Prof. George Magoha ambaye mwili wake ulifikishwa katika maeneo mbalimbali kutwa ya leo ili kutoa fursa ya kumuaga kabla yake kuzikwa siku ya Jumamosi. Wakwe…

Rais William Ruto akutana na Wabunge 30 wa chama cha Jubilee katika Ikulu ya Nairobi.

Rais William Ruto mapema hii leo alikutana na kundi la Wabunge 30 wa chama cha Jubilee katika Ikulu ya Nairobi. Wabunge hao wamejitolea kufanya kazi na serikali hii ikiwa ni mara ya pili kwa wao kuhudhuria mkutano kama huo. Rais Ruto aliapa…

Polisi wachunguza kisa ambapo kamanda wa polisi wa Narok ya kati alitekwa nyara.

Maafisa wa polisi hapa Narok wanachunguza kisa ambapo kamanda wa polisi wa Narok ya kati Fredrick Shiundu alitekwa nyara na watu wasiojulikana kwenye lango la kuingia kwake mwendo wa saa nne usiku wa kuamkia leo. Kamanda wa polisi wa Narok Kizito Mutoro…

Alfred Mutua aomba wakenya kuwasaidia waathiriwa wa Tetemeko la Ardhi Uturuki.

Waziri wa mashauriano ya nchi za nje Alfred Mutua, ametuma ujumbe wa pole kwa taifa la Uturuki linalokumbwa na jinamizi la matetemeko ya Ardhi yaliyosababisha vifo vya watu wapatao 5000 katika taifa hilo. Katika taarifa yake aliyoitoa wakiwa na Balozi wa Uturuki…

Juhudi za kuukabili moto katika msitu wa mau bado zinaendelea.

Serikali ya kaunti ya Narok imewataka wananchi wanaopakana na msitu wa Mau kuchukua tahadhari kutokana na moto ambao umekua ukiteketeza sehemu kubwa ya msitu huo kuanzia siku ya Alhamisi ya tarehe 2 mwezi huu. Katika taarifa iliyochapishwa alasiri ya leo na mkurugenzi…

Kenya itasimama pamoja na Uturuki na Syria kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo limesababisha vifo 5,000. 

Rais William Ruto amesema Kenya inasimama pamoja na Uturuki na Syria kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo liliporomosha majengo na kusababisha zaidi ya watu 5,000 kupoteza maisha  huku 20,000 wakijeruhiwa. Waokoaji wanaendelea kuwatafuta manusura kwenye vifusi vya maelfu ya majengo yaliyoporomoka kufuatia…