BY ISAYA BURUGU,7TH FEB,2023-Rais William Ruto hivi leo amekutana na viongozi waliochaguliwa kutoka eneo pana la Luo Nyanza katika ikulu ya Nairobi, siku moja tu baada ya kigogo wa kutoka eneo hilo Raia Odinga akiendeleza kampeni zake za kutotambua uongozi wa Ruto…
Mwakilishiwadi wa wadi ya Kogrogocho katika kaunti ya Nairobi Absalom Odhiambo ameshtakiwa kwa kosa la kutoa matamshi ya uchochezi katika mkutano wa kisiasa ulioandaliwa na muungano wa Azimio la umoja tarehe 25 mwezi jana. Odhiambo ambaye aliwasilishwa mbele ya Hakimu Mkuu wa…
Waziri wa jinsia na utumishi wa umma Aisha Jumwa kutwa ya leo ameongoza maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kukabiliana na Ukeketaji, kwenye hafla iliyoandaliwa katika eneo la Ntimaru kaunti ya Migori. Waziri Jumwa alikuwa miongoni mwa mamia ya wakaazi kutoka jamii…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ametoa ripoti ya kwanza ya siku mia moja tangu alipoingia ofisini. Kwa mujibu wa Kindiki ni kwamba kwa siku mia moja, wizara ya usalama wa ndani imefanikiwa kukabiliana na visa vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa…
BY ISAYA BURUGU 6TH FEB,2023-Zaidi ya wanafunzi 800,000 wa kidato cha 1 wameanza kujiunga na shule mbali mbali za upili kote nchini hivi leo.Ni wiki mabyo pia walimu 30,000 walioajiriwa wanatarajiwa kuripoti mashuleni.Tume ya kuwajiri walimu nchini ilisema 10,000 kati ya walimu…
Serikali inapania kuagiza mbolea kutoka nchini Tanzania kuanzia julai mwaka huu.Taasisi ya utafiti wa kilimo na mifugo KALRO imepatiwa jukumu la kukagua ubora wa mbolea hiyo. Kwa mujibu wa waziri wa kilimo Mithika Linturi ni kwamba hatua hiyo inapania kuwasilisha mbolea ya…
BY ISAYA BURUGU,4TH FEB,2023-Mwili wa mwanamme aliyezama katika mto Nyamindi katika Kijiji cha Ngucui katika kaunti ya Kirinyaga umoendolewa majini.Mwili huo uliondolewa na wapiga bizi wa kibinafsi na wenyeji waliojitolea. Kelvin Muthomi ambaye ni mfanyikazi wa hoteli moja mjini Kimbimbi eneo bunge…
Walimu saba waliokamatwa kwa kosa la kuwadhalilisha wanafunzi wa gredi ya pili wa shule ya Itumbe D.O.K watazuiliwa kwa siku mbili zaidi katika kituo cha polisi cha Inguso. Hakimu wa mahakama ya Ogembo Paul Biwott amesema amewapa maafisa wa upelelezi siku hizo…