Prof. Richard Alex Nyabera Magoha, kakake mdogo marehemu aliyekuwa Waziri wa elimu   Prof. George Magoha, kuzikwa leo

 BY ISAYA BURUGU 28TH JAN,2023-Prof. Richard Alex Nyabera Magoha, kakake mdogo marehemu aliyekuwa Waziri wa elimu   Prof. George Magoha, anazikwa leo  nyumbani kwkae huko Gem kaunti ya Siaya. Mwili wake uliondoka katika chumba cha kuhifadhia maiti cha lee  jijini Kisumu  leo asubuhi …

Rais aweka msingi ujenzi wa nyumba za bei nafuu eneo la Shauri Moyo, Nairobi.

Maelfu ya wananchi wanaoishi katika nyumba za hali duni kwenye mitaa ya mabanda katika kaunti ya Nairobi wataanza kufurahia nyumba zenye hadhi iliyoinuliwa, na hii ni baada ya rais William Ruto kuwaongoza viongozi mbalimbali Pamoja na wananchi katika hafla ya kuweka msingi…

Waziri wa Elimu apinga madai ya wizi wa mtihani wa KCSE mwaka jana.

Waziri wa elimu nchini Eliud machogu, ameyatetea matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE yaliyotolewa juma lililopita, akisema kuwa matokeo hayo hayatoi ishara kuwa uchaguzi huu ulishuhudia udanganyifu wa viwango vikubwa. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari, Waziri…

Serikali yawahakikishia wakenya kuwa data kuwahusu ziko salama.

Ulimwengu ukiadhimisha siku ya usalama wa deta, serikali imewahakikishia wakenya kuwa data kuwahusu iko salama. Akizungumza wakati wa hafla ya kuadhimisha siku hii, rais William Ruto amesema kuwa serikali itahakikisha kuwa wahalifu hawatumii teknolojia kukwepa kulipa ushuru au kuwalaghai wakenya wenzao. Aidha…

Waziri wa elimu Ezekiel Machogu azindua nakala mpya za gredi ya saba.

Waziri wa elimu Ezekiel Mcahogu amezindua nakala mpya za gredi ya saba huku wanafunzi wa gredi ya sita wakitarajiwa kujiunga na gredi hiyo au junior secondary tarehe 30 mwezi huu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo ulioandaliwa katika makao makuu ya KICD, Machogu…

Naibu wa rais awaagiza maafisa wa utawala wa mitaa kukabili kero la Mihadarati.

Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, amewataka machifu na manaibu wapo Pamoja na maafisa wengine wa uongozi wa mitaa, katika kaunti ya Murang’a kuimarisha vita dhidi ya pombe haramu na dawa za kulevya. Akizungumza hii leo, Gachagua amesema kwamba visa vya uraibu wa…

MCK kufanya mkutano na wawakilishi katika sekta ya uandishi wa habari.

Baraza la vyombo vya habari limetangaza kuwa kesho litafanya mkutano na wawakilishi wa sekta ya uandishi wa habari ili kuanzisha mfumo wa kukuza taaluma ya uandishi wa habari. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, afisa mkuu mtendaji wa baraza hilo David Omwoyo…

Kenya iko nyuma ya Uganda kwa matumizi ya mtandao wa simu za rununu-CA

BY ISAYA BURUGU,26TH JAN 2023-Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya CA imetoa takwimu mpya za utafiti wa matumizi ya mitandao ya kijamii katika ukanda wa Afrika Mashariki.Katika utafiti huo, Kenya na Tanzania kuenea kwa mawasiliano ya mtandao wa simu za mkononi unafuata nyuma…