Waziri Kithure Kindiki azindua kikosi cha kuangazia uhifadhi wa vifaa vya maji.

Waziri wa usalama wa ndani nchini Kithure Kindiki amezindua kikosi maalum kitakachosaidia kupambana na uhalifu katika sekta ya usambazaji na uhifadhi wa maji nchini, huku pia akiwaonya wanaoharibu miundomisingi ya maji kuwa chuma chao ki motoni. Akizungumza na waandishi wa habari mapema…

Kila Mkenya lazima alipe Ushuru – Rais William Ruto awajibu viongozi wa Upinzani.

Rais William Ruto ametuma onyo kali kwa wananchi waliokuwa na hulka ya kukwepa kulipa ushuru nchini. Akizungumza kutwa ya leo alipohudhuria semina ya baada ya uchaguzi iliyoandaliwa wa ajili ya wabunge katika kaunti ya Mombasa, Rais Ruto amewakemea wapinzani wake waliowataka wafuasi…

Rais William Ruto apuuza tetesi za mkutano kati yake na Wafula Chebukati.

Rais William Ruto amepuuza tetesi za mkutano kati yake na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi. Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa kongamano la muungano wa viongozi wa mashtaka katika kaunti…

Wanafunzi wa junior secondary waripoti shuleni kote nchini

BY ISAYA BURUGU ,30TH JAN,2023-Shughuli ya kuwasajili  jumla ya wanafunzi milioni 1.2 waliofanya mtihani wa gredi ya sita KPSEA, kujiunga na  shule ya junior secondary chini ya mtaala wa CBC imengoa nanga kote nchini hivi leo. Uchunguzi uliyofanywa na idhaa ya redio…

Matayarisho ya kumpokea Rais Ruto Narok yamekamilika.

Matayarisho ya kumpokea rais William Ruto katika kaunti ya Narok hio kesho yamekamilika rasmi. Haya ni kwa mujibu wa gavana wa kaunti ya Narok patric Ole Ntutu, ambaye aliyezungumza Jumamosi mchana baada ya kuiongoza kamati ya usalama katika kaunti kufanya uchunguzi wa…

Waziri Murkomen aisuta kampuni ya ndege ya KLM.

Waziri wa uchukuzi nchini, ameishtumu kampuni ya ndege ya KLM yenye makao yake nchini Uholanzi, kwa kile alichokiita nia ya kuzua hofu kati ya wakenya na pia kati ya mataifa mengine kuhusu hali ya usalama nchini. Shutma za Waziri Murkomen zinajiri baada…

Watoto wawili ni miongoni mwa watu watatu waliofariki katika ajali Muranga

BY ISAYA BURUGU,28TH JAN 2023-Watu watatu wamepoteza uhai  kufuatia  ajali mbaya ya barabara baada ya matatu ya uwezo wa kubeba watu 14 ilipogonga lori katika kaunti ya Muranga. Ajali hiyo imetokea leo asubuhi na kuhusisha  matatu iliyokuwa ikijaribu  kulipita lori  lakini ikaligonga…

Prof. Richard Alex Nyabera Magoha, kakake mdogo marehemu aliyekuwa Waziri wa elimu   Prof. George Magoha, kuzikwa leo

 BY ISAYA BURUGU 28TH JAN,2023-Prof. Richard Alex Nyabera Magoha, kakake mdogo marehemu aliyekuwa Waziri wa elimu   Prof. George Magoha, anazikwa leo  nyumbani kwkae huko Gem kaunti ya Siaya. Mwili wake uliondoka katika chumba cha kuhifadhia maiti cha lee  jijini Kisumu  leo asubuhi …