Maelfu ya wananchi wanaoishi katika nyumba za hali duni kwenye mitaa ya mabanda katika kaunti ya Nairobi wataanza kufurahia nyumba zenye hadhi iliyoinuliwa, na hii ni baada ya rais William Ruto kuwaongoza viongozi mbalimbali Pamoja na wananchi katika hafla ya kuweka msingi…
Waziri wa elimu nchini Eliud machogu, ameyatetea matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE yaliyotolewa juma lililopita, akisema kuwa matokeo hayo hayatoi ishara kuwa uchaguzi huu ulishuhudia udanganyifu wa viwango vikubwa. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari, Waziri…
Ulimwengu ukiadhimisha siku ya usalama wa deta, serikali imewahakikishia wakenya kuwa data kuwahusu iko salama. Akizungumza wakati wa hafla ya kuadhimisha siku hii, rais William Ruto amesema kuwa serikali itahakikisha kuwa wahalifu hawatumii teknolojia kukwepa kulipa ushuru au kuwalaghai wakenya wenzao. Aidha…
Waziri wa elimu Ezekiel Mcahogu amezindua nakala mpya za gredi ya saba huku wanafunzi wa gredi ya sita wakitarajiwa kujiunga na gredi hiyo au junior secondary tarehe 30 mwezi huu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo ulioandaliwa katika makao makuu ya KICD, Machogu…
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, amewataka machifu na manaibu wapo Pamoja na maafisa wengine wa uongozi wa mitaa, katika kaunti ya Murang’a kuimarisha vita dhidi ya pombe haramu na dawa za kulevya. Akizungumza hii leo, Gachagua amesema kwamba visa vya uraibu wa…
Baraza la vyombo vya habari limetangaza kuwa kesho litafanya mkutano na wawakilishi wa sekta ya uandishi wa habari ili kuanzisha mfumo wa kukuza taaluma ya uandishi wa habari. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, afisa mkuu mtendaji wa baraza hilo David Omwoyo…
BY ISAYA BURUGU,26TH JAN 2023-Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya CA imetoa takwimu mpya za utafiti wa matumizi ya mitandao ya kijamii katika ukanda wa Afrika Mashariki.Katika utafiti huo, Kenya na Tanzania kuenea kwa mawasiliano ya mtandao wa simu za mkononi unafuata nyuma…
BY ISAYA BURUGU 26TH JAN,2023-Risala za rambirambi kwa jamaa ndugu na marafiki wa Mwenda zake aliyekuwa Waziri wa elimu Prof George Magoha zinazidi kutolewa siku mbili baada ya kifo chake.Wakaazi wa kaunti ya Narok wamelezea masikitiko yao kuhusiana na kifo hicho cha…