Wabunge wapata mwafaka kuhusu fedha za NG-CDF

Hatimaye wabunge katika bunge la Kitaifa wameanza vikao vyao katika ukanda wa Pwani, baada ya kupata suluhu kwa mgogoro wa fedha za maendeleo ya maeneobunge almaarufu NG – CDF uliokuwa umesitisha vikao vyao. Vuta nikuvute kuhusiana na kutolewa kwa fedha hizi ilisitisha…

Viongozi mbalimbali waendelea kutuma jumbe za rambirambi kwa familia ya Prof. George Magoha.

Viongozi mbalimbali wameendelea kutuma jumbe za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa waziri wa elimu Prof. George Magoha aliyeaga dunia jioni ya jana katika hospitali ya Nairobi akiwa na umri wa miaka 71. Kamishna mkuu wa uingereza nchini Jane Marriot amesema kuwa prof.…

Aliyekuwa waziri wa Elimu Prof. George Magoha ameaga dunia!

Aliyekuwa waziri wa elimu nchini Profesa George Magoha ameaga dunia. Magoha ameaga dunia jioni ya leo Jumanne 24. Januari 2023 katika hospitali ya Nairobi akiwa na umri wa miaka 71 baada ya kuugua kwa ghafla. Prof. Magoha aliongoza wizara ya elimu kwa…

Vikao vya kuhojiwa kwa makamishna wa IEBC vyaendelea kwa siku ya pili.

Vikao vya kuhojiwa kwa makamishna wa IEBC vimeendelea kwa siku ya pili, hii leo ikiwa zamu ya aliyekuwa mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati. Wakili wa kamishna Irene Masit, Donald Kipkorir, amemuuliza bw. Chebukati iwapo alizungumza na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta kuhusiana…

Mwanamke mmoja ashtakiwa kwa madai ya kumnajisi mvulana mwenye umri wa 15.

Mwanamke mmoja katika kaunti hii ya Narok ameshtakiwa kwa madai ya kumnajisi mvulana mwenye umri wa 15, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili. Mary Njoki aliyefikishwa mbele ya hakimu mkuu Rosalinda Shinyanda, anadaiwa kutekeleza uhalifu huo mnamo Januari 4 mwaka huu…

Nyufa zaonekana Jubilee viongozi wakichukua misimamo tofauti.

Na hali ya sintofahamu imeanza kushuhudiwa katika chama ch Jubilee, baada ya sehemu ya wabunge walio wanachama wa chama hicho, kuandaa kikao na Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua katika ikulu Mapema leo. Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Pamoja…

Raila na Ruto wajibizana kuhusu suala la Handsheki katika hadhara tofauti.

Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, amesema kuwa muungano huo hautambui uhalalai wa uongozi wa Rais William Ruto. Odinga alikua akizungumza katika uwanja wa Kamukunji baada ya kuwaongoza wananchi Pamoja na viongozi wengine wa muungano huo katika…

Zingatieni maendeleo kwa wananchi wala sio siasa,gavana Ntutu awataka wanasiasa Narok

 BY ISAYA BURUGU 23RD JAN 2023-Wanasiasa kaunti ya Narok wametakiwa kujiepusha na malumbano ya kisiasa na badala yake kujihusisha na maswala ya kimaendeleo kaunti ya Narok.Wito huu umetolewa na gavana wa kaunti hii ya Narok Patrick Ntutu.Antony Mintila ana kina cha taarifa…