Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa ataandaa baraza la mashauriano la umme siku ya jumatatu tarehe 23 mwezi huu katika uwanja wa Kamukunji. Taarifa kutoka kwa ofisi ya msemaji wa bwana Odinga imeeleza kwamba kikao…
BY ISAYA BURUGU,21ST JAN 2023-Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameshinda raundi ya kwanza ya kesi ya kupinga uteuzi maafisa wakuu kumi wa serikali ya kaunti waliozinduliwa wiki jana.Hii ni baada ya mahakama ya leba kule Mombasa kudinda kutoa agizo kuzuia mchakato…
Siku kadhaa baada ya Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen kufutilia mbali uteuzi wa generali mstaafu Joseph Kibwana kama mwenyekiti wa bodi ya almashauri ya Bandari nchini KPA na kumkabidhi wadhifa huo aliyekuwa mbunge wa Kinango Benjamin Tayari sasa shoka limewangukia wanachama wa…
BY ISAYA BURUGU 20TH JAN 2023-Jumla ya watainiwa 173,345 waliokalia mtihani wa kitaiafa kwa kidato cha nne mwaka jana KCSE waliapata alama ya C chanya na Zaidi. Haya ni kwa mjibu wa matokeo ya mtihani huo yaliyotanagzwa leo na Waziri wa elimu…
Viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja wameeleza nia ya kuchukua hatua Zaidi, kuweka peupe idhibati kwamba rais William Ruto hakuibuka mshindi katika uchaguzi wa mwaka jana. Wakizungumza katika kikao na waandishi wa habari jioni ya leo, viongozi hao wakiongozwa na kinara…
Bunge la seneti limeidhinisha mswada wa marekebisho wa tume huru ya uchgauzi na uratibu wa mipaka nchini, ili kupisha kuanza kwa zoezi la kuwateua makamishena wapya wat me hiyo ya IEBC. Mswada huo umepitishwa bila kufanyiwa mabadiliko yoyote baada ya mwenyekiti wa…
Bunge la seneti hii leo limeandaa kikao maalum ambapo wanajadili mustakabali wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC. Bunge hilo linatarajiwa kuidhinisha mswada ulopitishwa na bunge la kitaifa kuhusu jopo la uteuzi litakaloendesha zoezi la kuwateua makamishna wapya wa IEBC. Mswada huo…
Serikali ya kaunti ya Narok itashirikiana na serikali ya kitaifa ili kujenga majumba ya kisasa. Hii ni kauli yake mhandisi B.M. Njenga. Akizungumza mjini Narok wakati wa ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo Bw.Njenga aliyeandamana na gavana wa kaunti hii Patrick Ntutu…