Wahadhiri wa chuo kikuu cha Egerton kwa mara nyingine wamejitokeza kulalamikia mishahara yao ambayo hawajalipwa kwa miaka mitatu sasa. Wakizungumza na waandishi wa habari, wahadhiri hao wamewataka viongozi wa chuo hicho kufuata maagizo ya mahakama na kulipa mishahara yao asilimia bin mia.…
BY ISAYA BURUGU 13TH JAN 2023-Mwili wa mwalimu wa miaka 44 aliyeripotiwa kupotea tarehe 22 mwezi disemba mwaka jana umepatikana ndani ay sanduku nyumbani mwake katika Kijiji cha Ihururu kaunti ya Nyeri. Mabaki ya Joseph Gathogo yamepatikana ndani ya chumba chake cha …
BY ISAYA BURUGU 13TH JAN 2023-Wakulima katika kaunti ya Narok wamenufaika na mafunzo yanayolenga kuwawezesha kufahamu jinsi ya kuendesha shughuli zao na kupata faida wakati huu taifa linaposhuhudia adhari za mabadiliko ya hali ya hewa.Katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa katika shamba la Purko…
BY ISAYA BURUGU 13TH JAN 2023-Rais William Ruto Hivi leo Ijumaa anaazna ziara ya siku mbili eneo la Nyanza .Ziara hiyo ya Rais itampelekea kuzuru kaunti tatu za Nyanza ambazo ni Homa Bay,Kisumu na Siaya. Kwa mjibu wa msemaji wa Ikulu Hussein…
Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu amewaagiza maafisa kutoka idara ya kukabiliana na majanga nchini, kuimarisha jitihada zake za kuwasaidia wananchi mjini Narok wakati wanapokumbwa na majanga ya moto. Akizungumza baada ya kuzuru maeneo 5 yaliyoathirika na moto mjini Narok, gavana…
Viongozi mbalimbali wa kisiasa pamoja na watangazaji wamemmiminia sifa tele mwendazake mtangazaji mkongwe wa runinga Catherine Kasavuli. Wakizungumza wakati wa hafla ya Ibaada ya wafu kwa mwendazake iliyoandaliwa katika kanisa la friends jijini Nairobi,marafiki na watu waliosoma naye wamemkumbuka Kasavuli kama mtu…
BY ISAYA BURUGU 12TH JAN 2022-Rais Wiliamu Ruto amekita kambi kwa siku ya pili mfulilizo hivi leo katika chou cha utoaji mafunzo kwa polisi wa utawala cha Embakasi kuongoza hafla ya kufuzu kwa makurutu wa GSU.Hiyo jana rais alikuwa katika chou hicho…
BY ISAYA BURUGU 12TH JAN 2022-Sasa taarifa zimeibuka kwamba Mwanaume aliyefungwa maisha hapo jana na mahakama ya Narok baada ya kukiri kumuoa na kumpachika mimba msichana mwenye umri wa miaka 9 ni raia wa taifa jirani la Tanzania. Mmoja wa viongozi eneo…