BY ISAYA BURUGU 11TH JAN,2022-Wakaazi wa eneo la Majengo viungani mwa mji wa Narok wanakadiria hasara ya mamilioni ya fedha kufuatia moto kubwa uliyoteketeza nyumba moja ya makaazi eneo hilo usiku wa kuamkia leo. Wakaazi wanasema Nyumba nne na duka ni baadhi…
Walimu wa shule za upili nchini sasa wanalitaka Baraza la Kitaifa la Mitihani nchini KNEC kuogeza malipo wanayopata wakati wa kusahihisha mitihani ya kidato cha nne ya KCSE. Katibu mkuu wa Muungano wa Walimu wa shule za Upili (Kuppet) Akelo Misori amesikitikia…
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amezungumza kuhusu vita vyake vinavyoendelea na Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu mipango ya kuondoa matatu kutoka mjini. Viongozi hao wawili wamepinga maswala hayo huku Sakaja akishikilia kwamba anaungwa mkono kikamilifu na Rais William Ruto kurejesha kile anachokiita…
Jaji Mkuu Martha Koome amepongeza Mahakama ya Mizozo ya Vyama vya Kisiasa kwa kutatua kwa haraka mizozo ya kabla ya uchaguzi. Koome ameeleza kuwa Mahakama hiyo ilihakikisha migogoro yote 314 ya kabla ya uchaguzi inatatuliwa kwa wakati. Kulingana naye, mahakama hiyo inaendelea…
BY ISAYA BURUGU 10TH JAN,2023-Serikali imetakiwa kufanya uchuguzi kuhusu visa vya ulaghai wa ardhi ya umma vinavyoriopotiwa kukidhiri mjini Narok.Ni wito wake aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha ubunge Narok kaskazini Kerempoti Sadera . Sadera akizungumza mjini Narok amesema swala ardhi ni swala…
BY ISAYA BURUGU 10TH JAN 2022-Rais Wiliam Ruto ametoa hakikisho kwa taifa kuwa serikali yake itaendelea kujizatiti kuboreshwa mazingira ya utenda kazi kwa maafisa wa polisi nchini. Akizungumza katika hafla ya kufuzu kwa makurutu wa polisi katika chuo cha utoaji mafunzo kwa…
Waziri wa Afya nchini Bi. Susan Nakhumicha kwa mara nyingine amesisitiza kujitolea kwa serikali katika kutoa msaada kwa serikali za kaunti ili kuziwezesha kutoa huduma za afya zenye kiwango kinachofaa. Akizungumza katika kaunti ya Nyeri mchana wa leo alipomtembelea gavana wa kaunti…
Mwanaume mwenye umri wa miaka 50 kutoka eneo la Entasekera Narok Kusini amekiri kosa la kumwoa msichana mwenye umri wa miaka 9 na kukubali mashtaka dhidi yake katika kesi iliyowasilishwa mbele ya hakimu mkazi Phyllis Shinyada mchana wa leo. Mwanaume huyo kwa…