BY ISAYA BURUGU 10TH JAN 2022-Rais Wiliam Ruto ametoa hakikisho kwa taifa kuwa serikali yake itaendelea kujizatiti kuboreshwa mazingira ya utenda kazi kwa maafisa wa polisi nchini. Akizungumza katika hafla ya kufuzu kwa makurutu wa polisi katika chuo cha utoaji mafunzo kwa…
Waziri wa Afya nchini Bi. Susan Nakhumicha kwa mara nyingine amesisitiza kujitolea kwa serikali katika kutoa msaada kwa serikali za kaunti ili kuziwezesha kutoa huduma za afya zenye kiwango kinachofaa. Akizungumza katika kaunti ya Nyeri mchana wa leo alipomtembelea gavana wa kaunti…
Mwanaume mwenye umri wa miaka 50 kutoka eneo la Entasekera Narok Kusini amekiri kosa la kumwoa msichana mwenye umri wa miaka 9 na kukubali mashtaka dhidi yake katika kesi iliyowasilishwa mbele ya hakimu mkazi Phyllis Shinyada mchana wa leo. Mwanaume huyo kwa…
Washukiwa watano wa mauaji ya mwanaharakati wa ubasha Edwin Chiloba wataendelea kuzuiliwa kwa wiki tatu zaidi ili kutoa nafasi ya kukamilika kwa uchunguzi. Tano hao ambapo watatu kati yao hawajahitimu umri wa miaka 18 walifikishwa katika mahakama ya Eldoret. Jacktone Odhiambo ambaye…
BY ISAYA BURUGU 9TH JAN,2022-Makamishna saba wa Tume ya Ugavi wa Mapato walioteuliwa wameapishwa rasmi leo kuanza jukumu lao. Hii ni baada ya Bunge la Kitaifa kuwaidhinisha makamishna hao saba mnamo Desemba 8, 2022, baada ya kufika mbele ya Kamati ya Bunge…
BY ISAYA BURUGU 9TH JAN 2022-Mwanume mwenye umri wa miaka 40 anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Narok kwa tuhuma ya kukiuka haki za watoto kwa kumoa msichana wa mwenyeumri wa miaka 7 ambaye sasa ana miaka 12.Inaarifiwa kwamba muuguzi mmoja katika…
Siku kadhaa baada ya mgao wa fedha za maendeleo ya maeneobunge almaarufu NG CDF kutolewa, mbunge wa Thika Mjini Alice Ng’ang’a ameaka kuongezwa kwa fedha hizo hasa katika maeneobunge yaliyo na idadi kubwa Zaidi ya watu. Bi. Ng’ang’a amesema kuwa kupatiwa fedha…
Wakulima humu nchini watafaidi pakubwa kutoka kwa serikali ya kitaifa, baada ya serikali kuanzisha mchakato wa kutoa huduma kwa wakulima hawa kwa njia za kidijitali. Rais William Ruto amesema kwamba teknolojia itaiwezesha serikali kuwaondoa mdalali wanaowahujumu wakulima na kusababisha kuongezeka kwa gharama…