Mshukiwa wa utapeli kupitia ubadilishaji wa laini za simu Hillary Langat Matindwet almaarufu David Mutai, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi 300,000 baada ya kukana mashtaka dhidi yake. Mshukiwa huyo alikamatwa mwishoni mwa mwaka jana katika kaunti ya kericho, na amekuwa akizuiliwa katika…
Salim aliyewania wadhifa huo kwa tiketi ya chama cha ODM sasa ndiye mwakilishi wadi wa eneo hilo, baada ya kujizolea jumla ya kura 1,053 mbele ya Mohamed Hassan Ali wa Chama cha Amani National Congress (ANC) aliyezoa kura 573
Mkuu wa Baraza la Mawaziri nchini Musalia Mudavadi ameongoza baraza la mawaziri pamoja na viongozi wengine, katika kikao cha kwanza cha mashauriano, kilichoandaliwa katika hoteli ya Mt. Kenya Safari Club eneo la Nanyuki katika kaunti ya Laikipia. Kikao hicho ambacho cha siku…
Madaktari humu nchini wametangaza kusitishwa kwa mgomo uliokuwa umeratibiwa kuanza kuanza hio kesho tarehe 6 mwezi Januari. Hii ni baada ya kuafikia makubaliano katika kikao cha mazungumzo kati ya wawakilishi wa matabibu, Baraza la Magavana na Wizara ya Afya. Katika kikao hicho…
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis mchana wa leo ameongoza misa ya ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Papa Benedict XVI mjini Vatican. Papa Francis ametoa mahubiri katika Misa hiyo ambayo imehudhuriwa na takriban makadinali 120, maaskofu 400 na Zaidi ya mapadre…
Viongozi wa kijamii na kisiasa kutoka eneo la Kerio Valley wakiongozwa na Mbunge wa Tiaty William Kamket, wameandaa kikao na wanajamii katika eneo hilo, kwa nia ya kutafuta suluhu la kudumu la vurugu zinazoshuhudiwa katika eneo hilo. Akizungumza katika kikao hicho, Kamket…
Waziri wa kilimo nchini Mithika Linturi amesema kuwa sajili ya wakulima itakayoundwa baada ya kuwasajili wakulima katika shughuli za kupokea huduma muhimu za serikali kama vile mbegu na mbolea, itawekwa salama. Waziri Linturi amesema kuwa sajili hii itakapoundwa, itasaidia katika kutekeleza mpango…
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameeleza Imani yake kuwa chama cha UDA kitaibuka kidedea katika msururu wa chaguzi ndogo zinazotarajiwa kuandaliwa Alhamisi ya tarehe 5 mwezi huu. Kipindi cha kampeni kuelekea kwenye chaguzi hizi kimefungwa rasmi jioni ya leo mwendo wa thenashara,…