Rais William Ruto amebatilisha uamuzi wake kuhusu mpango wa kugawanya mradi wa ukulima wa unyunyizaji wa Galana Kulalu. Katika chapisho alasiri ya Leo, Rais Ruto amesema kuwa mradi huo badala yake utatumiwa katika uzalishaji wa mahindi katika arthi ya ekari 10,000 iliyo…
Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) imetupilia mbali uvumi unaodai kuwa hazina hiyo imesitisha mpango wa Linda Mama kutoka kwenye orodha huduma zake. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta alianzisha mpango huo wakati wa utawala wake katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa…
Seneta wa kaunti ya Kakamega Dkt. Boni Khalwale amewaonya wawakilishi wadi dhidi ya kutumia vibaya mamlaka yao ya kikatiba, kwa kuwatisha magavana ili kukidhi maslahi yao ya kibinafsi. Khalwale ambaye alikua mwenyekiti wa kamati ya seneti iliyosikiliza hoja ya kumbandua gavana wa…
Serikal ya kitaifa inapani kuondoa kozi za biashara zinazofunzwa katika taasisi za elimu ya ufundi (Tvet) na badala yake kuongeza kozi za sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati almaarufu (Stem) katika kipindi cha miaka 3 ijayo. Haya yanajiri huku Rais William Ruto akitangaza…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki anatarajiwa kuzuru eneo la Kerio Valley hii leo, kwa ziara ya ukaguzi wa operesheni ya usalama katika eneo hilo, kufuatia shambulizi la hivi majuzi la ujambazi lililosababisha vifo vya dada wawili katika eneo hilo. Waziri…
Maelfu ya waumini wa dini ya kikatoliki mjini Vatican wamejitokeza kwa wingi katika Basilica ya Mt. Petro kuanzia asubuhi ya leo, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa papa mstaafu Benedict XVI, aliyeaga dunia siku ya Jumamosi. Mwili wa papa huyo ulikuwa…
Mamlaka ya kutwaa mali iliyopatikana kwa njia zilizo kinyume cha sheria (ARA) imetoa rai la kurejeshwa kwa shilingi milioni 200 zilizotwaliwa kutoka kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, ikisema kwamba fedha hizo zilipatikana kwa njia ya halali. ARA sasa inaitaka mahakama ya…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amefanya mabadiliko katika idara hiyo, baada ya kuwateua waratibu/watawala wa mikoa wapya katika kanda zote nane humu nchini, pamoja na kufanya uteuzi wa maafisa katika wizara hiyo. Kwa mujibu wa chapisho la wizara ya usalam…