Familia ya mwanahabari mkongwe na gwiji wa utangazaji aliyeaga dunia Catherine Kasavuli, imetoa wito wa msaada kutoka kwa wakenya ili kulipa gharama za hospitali zilizofikia shilingi milioni nne zilizotumika wakati alipokua akipokea matibabu yake. Mwanawe Kasavuli Bw. Martin Kasavuli katika waraka alioandika…
Chama cha KANU kimetoa orodha ya wanachama watakaohudumu katika kamati ya kinidhamu ili kusikiliza na kutoa uamuzi wao dhidi ya aliyekuwa katibu wa Chama hicho Nick Salat ambaye alisimamishwa kazi tarehe 15.12.2022. Kamati hiyo ya nidhamu itaongozwa na Mbunge wa Kilgoris Julius…
Aliyekuwa mgombea wa Ugavana katika kaunti ya Machakos kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Agosti Nzioka Waita, ametangaza kuchukua mapumziko kutoka kwa shughuli za kisiasa kwa muda. Akitoa tangazo hili kupitia mitandao yake ya Kijamii, waita ambaye alihudumu kama mkuu wa wafanyikazi katika…
BY ISAYA BURUGU 30TH DEC 2022-Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen ameamuru kusimamishwa kwa leseni ya uendeshaji wa Mabasi ya Modern Coast mara moja. Katika taarifa iliyoandikwa Ijumaa, Desemba 30, CS Murkomen alibainisha kuwa uamuzi huo ulifikiwa baada ya kupokea ripoti kutoka kwa…
BY ISAYA BURUGU 30TH DEC 2022-Gavana wa kaunti ya Meru Kawira mwangaza ameponea kungatuliwa afisini baada ya bunge la seneti kusema kuwa madai ya ukiukaji sheria yaliyotolewa dhidi yake hayana msingi wowote. Katika Kikao hicho kilitishwa na spika wa seneti Jeffa Kingi…
BY ISAYA BURUGU 30TH DEC 2022-Mtangazaji mkongwe wa runinga Catherine Kasavuli ameaga dunia.Alifariki akiwa na umri wa miaka 60 katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta Alhamisi usiku, baada ya kuugua saratani.Kasavuli amelazwa katika hospitali hiyo tangu Oktoba 26. Mfanyakazi mwenzake katika KBC…
BY ISAYA BURUGU 29TH DEC 2022-Aliyekuwa Mbunge wa Bungoma Mashariki Mark Barasa alipatikana Jumatano ameuawa na mwili wake kutupwa nje ya shamba lake la nyumbani huko Tongaren, Bungoma. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 98 alikuwa mbunge wa kwanza wa Bungoma Mashariki…
BY ISAYA BURUGU 29TH DEC 2022- Makachero wa kitengo cha upelelezi wa jinai DCI wamemkamata mtu aliyeonekana kwenye video iliyosambazwa katika mitandao yakijamii siku ya krisimasi akimnywesha mtoto pombe kali. DCI imedhibitisha kukamatwa kwa watu wawili kupitia taarifa iliyo chapishwa kwenye mitandao…