BY ISAYA BURUGU,29TH DEC 2022-Watu wawili wamepoteza Maisha leo katika ajali ya barabarani iliyohusisha lori na gari dogo aina ya pick up. Ajali hiyo ilitokea kwenye barabara ya Kenol Muranga. Kwa mjibu wa polisi ajali hiyo ya mwendo was aa nne za…
BY ISAYA BURUGU 29TH DEC 2022-Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Alshabaab wamewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi mapema leo asubuhi katika barabara ya Lamu kuelekea Garsen katika kaunti ya Lamu. Taarifa zinasema kuwa angalau wanamgambo 10 waliovalia sare…
BY ISAYA BURUGU 28TH DEC 2022-Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amewasiliana na muungano wa madaktari katika jitihada za kuepusha mgomo wa madaktari unaokaribia mwezi Januari mwakani. Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini (KMPDU) ulitoa notisi ya mgomo ili hatua…
BY ISAYA BURUGU 28TH DEC 2022-Mtu mmoja ameaga dunia leo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya modern coast kuanguka mtoni kaunti ya Kisii. Basi hilo liliripotiwa kupoteza mwelekeo na kuacha barabara eneo la Masosa kabla ya kuanguka…
BY ISAYA BURUGU ,28TH DEC 2022– Kamanda wa polisi kaunti ya Narok Kizito Mutoro amewataka Wenyeji wa Narok kuwa wangalifu kufuatia mvua kubwa inayoendelea kushudiwa maeneo mbali mbali kaunti ya Narok. Kizito akizungumza ofisini mwake mjini Narok amesema mtu amesombwa na maji…
BY ISAYA BURUGU 27TH DEC 2022-Mkurugenzi mkuu wa mashataka ya umma Noordin Haji amewasilisha rufaa mahakamani akipinga hatua ya hakimu mkuu Douglas Ogoti kumwachilia aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko katika kesi ya ufisadi wa shilingi milioni 20 iliyokuwa ikimwandama. Hakimu…
BY ISAYA BURUGU 27TH DEC 2022-Mwanamme mmoja ambaye ni muhudumu wa bodaboda amesombwa na maji ya mafuriko alipokuwa akijaribu kuvuka mto wakolnkit katika Kijiji cha Ala Lui eneo la kilgoris Transmara magharibi kaunti hii ya Narok. Hii ni kufuatia mvua kubwa inayoendelea…
BY ISAYA BURUGU ,27TH DEC 2022- Waumini wametakiwa kuwa na upendo na kuonyesha upendo huo kwa wasiobahatika katika jamii katika kipindi hilki cha shere za krimaisi na mwaka mpya. Wito huo umetolewa na mshirikishi wa maswala ya kichungaji kwenye jimbo katoliki la…