Dereva wa basi la abiria lililohusika katika ajali eneo la Twin Bridge mnamo Jumanne, Januari 7, ashtakiwa.

Clement Kiarie, dereva wa basi la abiria lililohusika katika ajali eneo la Twin Bridge mnamo Jumanne, Januari 7, ameshtakiwa. Kiarie, ambaye pia anajulikana kwa jina la Taylor, alifikishwa mbele ya Hakimu Mkuu wa Molo Daisy Mosse leo asubuhi ambapo alishtakiwa kwa makosa…

Afisa wa Mauaji kushtakiwa

Afisa Aliyewapiga Risasi Watu 4 kwenye Baa Mjini Nakuru Kushtakiwa Kwa Mauaji.

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini (DPP) ameidhinisha mashtaka dhidi ya afisa wa polisi anayedaiwa kuwaua watu wawili katika mzozo wa baa mjini Nakuru mwezi Disemba Mwaka jana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na DPP, afisa huyo kwa jina Nichola Musau atashtakiwa…

Serikali yapania kusitisha uagizaji wa chakula kutoka nje katika muda wa miaka 10 ijayo.

Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa nchi itasitisha uagizaji wa chakula kutoka nje katika muda wa miaka 10 ijayo. Rais, ambaye alizungumza alipokuwa akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Nyumba za bei nafuu huko Nanyuki, alisisitiza haja ya taifa kujitegemea katika…

Baadhi ya wabunge walalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa CDF.

Baadhi ya wabunge wamefanya kikao na wanahabari hii leo kulalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa hazina ya ustawi wa maeneobunge CDF. Wakiongozwa na mbunge wa Rarieda Otiende Amollo,wabunge hao wamedai kuwa hakuna eneobunge lolote ambalo limepokea fedha huku wakiikashifu serikali kwa kutomiza ahadi…

Ajali Nakuru

Watu 15 Waangamia Katika Ajali ya Barabara Eneo la Twin Bridge, Nakuru.

Watu 15 wamepoteza maisha yao katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eno la Twin Bridge, kwenye barabara kuu ya Nakuru – Eldoret. Ajali hiyo ilihusisha basi moja la kampuni ya Classic Kings of Congo na matatu ya…

Watu 2 Waangamia Katika Ajali Mbili Tofauti za Barabarani Kaunti ya Narok.

Watu wawili wameaga dunia katika ajali mbili tofauti za barabarani katika Kaunti ya Narok, chini ya saa 24 zilizopita. Ajali ya kwanza ilitokea eneo la Tegero, Ololulung’a Narok Kusini, saa saba na robo usiku wa kuamkia Jumatatu 08.01.2023, na ilihusisha matatu aina…

Wasafiri Wa Kimataifa Waanza Kutumia Mpango Wa Usafiri Bila Visa Kuingia Nchini

Majuma kadhaa baada ya Rais William Ruto kutangaza sera mpya ya kuruhusu wageni kutoka mataifa ya nje kusafiri nchini Kenya bila kuwa na Visa, kundi la kwanza la wasafiri wamefika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) hii leo.…

Sudan Yamwita Nyumbani Balozi Wake wa Kenya Kufuatia Mkutano wa Rais Ruto na Kiongozi wa RSF.

Serikali ya Taifa la Sudan imemwagizwa Balozi wake Nchini Kenya kuondoka humu nchini mara moja, kufuatia mkutano wa Rais William Ruto na Kiongozi wa vuguvugu la RSF jijini Nairobi siku ya Jumatano. Katika taarifa iliyotolewa na Shirika la Taifa la Habari nchini…