BY ISAYA BURUGU 27TH DEC 2022-Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza amekanusha madai ya ukiukaji sheria dhidi yake yaliyotolewa na wawakilishi wadi wa kaunti hiyo na kutumiwa kama msingi wa kumangatua mamlakani.Kawira amefika mbele ya kikao maalum cha bunge la seneti…
BY ISAYA BURUGU 23RD DEC 2022-Baraza la Vyombo vya Habari nchini Kenya limeomba Huduma ya Kitaifa ya Polisi kuharakisha uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanahabari Moses Okiror Omusolo. Baraza hilo limelaani mauaji ya kutisha ya Omusolo, likisema kuwa usalama wa wanahabari ni muhimu.…
BY ISAYA BURUGU 23RD DEC 2022-Aliyekuwa waziri wa uchukuzi Michael Kamau amerejea tena katika utumishi wa umma baada yake kuteuliwa mwenyekiti mpya wa bido ya hazina yakitifa yakimatibabu NHIF. Kupitia notisi kwenye gazeti rasmi la serikali iliyochapishwa na rais William Ruto …
BY ISAYA BURUGU 22ND DEC 2022-Rais William Ruto amemteua aliyekuwa jaji mkuu David Maraga kama mwenyekiti wa jopokazi litakalotathmini jinsi ya kuimarisha mazingira ya utendakazi kwa polisi na maafisa wa magereza.Maraga atasaidiwa na Carole Karuiki kwenye jopokazi hilo lililo na wananchama 20.…
BY ISAYA BURUGU 22ND DEC 2022-Gibson Gathu Mbugua aliyewahi kuwa kiongozi wa mashtaka katika kipindi maarufu cha Vioja mahakamani kinachopeperushwa kwenye runinga yakitaifa ya KBC ameaga dunia. Mbugua alikuwa amefanyiwa upasuaji kubadilishiwa figo katika hospitali ya Mediheal mjini Eldoret. Hata hivyo baada…
Kesi ya ufisadi na utumizi mbaya wa mali ya umma dhidi ya aliyekuwa gavana wa Nairobi Miko Sonko imefutwa mahakamani kwa ukosefu wa idhibati. Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Douglas Ogoti ameamuru kudondoshwa kwa kesi hiyo ya ufujaji wa…
Matokeo ya watahiniwa wa gredi ya sita watakaojiunga na ngazi ya chini ya sekondari mwaka ujao yatakuwa tayari kwenye mtandao wa KNEC kufikia tarehe 16 mwezi januari. Kila mwanafunzi aliyeandika mtihani huo atapokea matokeo yake binafsi huku kila shule pia ikipokea matokeo…
Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC imeweka mipango inayofaa kuhakikisha kuwa utekelezaji wa mtaala mpya wa CBC unaendeshwa kama ilivyoratibiwa. Mkurugenzi mkuu wa tume hiyo Nancy Macharia amesema mwaka ujao Zaidi ya walimu alfu 30 watatumwa kote nchini kusaidia katika kufanikisha azimio…