BY ISAYA BURUGU 21ST DEC 2022-Mwanamume mmoja mwenye umri wa makamo kutoka eneo la Magena, kaunti ya Kisii anapigania macho yake baada ya umati wa watu kumvamia katika shambulizi linaloshukiwa kuwa mzozo wa kimapenzi. Polisi, hata hivyo, walisema Simon Kengere mwenye umri…
BY ISAYA BURUGU 21ST DEC 2022-Kila mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane mwaka huu atapata nafasi katika shule ya upili.Waziri wa elimu Ezekiel Machogu anasema serikali maho kuendelea na mpango wake wa Watoto kujiunga na shule kwa asilimia mia…
Maseneta wamelazimika kukatiza likizo yao ili kuhudhuria kikao maalum cha kusikiliza mswada wa kumbandua gavana wa Meru Kawira mwangaza, baada ya wawakilishi wadi wa Meru kumbandua mamlakani gavana huyo kwa madai ya utumizi mbaya wa ofisi na kukiuka sheria za katiba. Katika…
Vikao vya kusikilizwa kwa malalamishi dhidi ya makamishna wanne wa IEBC na jopo linaloongozwa na jaji wa mahakama ya rufaa Aggrey Muchelule vimeng’oa nanga hii leo. Wakili wa kamishna Irene Masit, Donald Kipkorir amepinga kuanza kwa vikao hivyo akidai kuwa kesi hiyo…
Kikao maalum cha kujadili hoja ya kubanduliwa kwa gavana wa Meru Kawira Mwangaza kinaendelea hivi sasa katika bunge la seneti. Maseneta wamelazimika kukatiza likizo yao ili kuhudhuria kikao hicho baada ya wawakilishi wadi wa Meru kumbandua mamlakani gavana huyo kwa madai ya…
BY ISAYA BURUGU 20TH DEC 2022-Wizara za uchukuzi na usalama wa ndani zimetangaza kuwa zitaendesha msako kwa Pamoja dhidi ya madereva wanaoendesha magari bila uajibikaji na kusabbaisha ajali msimu huu wa sherehe za krismasi.Kwenye kikao cha Pamoja kwa wanahabari,Waziri wa uchukuzi Kipchumba…
Wawakilishi wa Kenya katika bunge la Afrika Mashariki EALA, wametwaa kiapo cha uaminifu na utumishi katika makao makuu ya afrika Mashariki mjini Arusha katika taifa Jirani la Tanzania. Viongozi hao walikua miongoni mwa wabunge 63 kutoka mataifa saba ya Afrika mashariki waliochaguliwa…
Magavana kupitia baraza la magavana nchini, wamejitokeza na kusimama namwenzao Gavana wa Meru Kawira Mwangaza, wakati mswada wa kubanduliwa mamlakani ukitarajia kusikilizwa kwenye bunge la seneti hio kesho Jumanne 20.12.2022. Katika taarifa yao kwa wanahabari adhuhuri ya leo katika jingo la Delta…