Spika wa seneti Amason Jeffa Kingi ameitisha kikao maalum cha bunge hilo hiyo kesho jumanne kutathimini hoja ya kumwondoa mamlakani gavana wa Meru Kawira Mwangaza iliyopitishwa na bunge la kaunti ya meru tarehe 14 mwezi huu wa Disemba. Kingi kupitia notisi rasmi…
Muungano wa madaktari nchini KMPDU umetoa makataa ya siku thelathini kabla ya kuanza mgomo wa kitaifa. Kulingana na katibu mkuu wa muungano huo Devji Atela, madaktari watashiriki mgomo huo kushinikiza serikali kuu na serikali za kaunti kutekeleza mkataba wa maafikiano wa 2017.…
BY ISAYA BURUGU ,19TH DEC 2022-Maafisa wa polisi wa DCI wamemkatama mwanname mmoja wa miaka 26 kuhusiana na jaribio la mauaji yam toto Juniour Sagini kule marani kitutu chache kasikiani kaunti ya Kisii.Kwa mjibu wa polisi ni kwamba mwanamme huyo Alex Maina…
Mbunge wa Suba Kusini Caroli Omondi ametoa wito wa kufanyika mabadiliko katika chama cha ODM na pia katika muungano wa Azimio la Umoja, hasa kwa viongozi wanaowakilisha muungano huo bungeni, akisema kuwa baadhi ya viongozi wanaohudumu katika nyadhifa mbalimbali hawajaafikia viwango vinavyohitajika. Akizungumza…
Idara ya afya ya katika kaunti ya Bomet imesema kwamba iko katika hali ya kutahadhari baada ya kisa cha ugonjwa wa Kipindupindu kuthibitishwa katika kaunti hiyo, huku mgonjwa aliyepatikana na ugonjwa huo akitengwa katika hospitali ya misheni ya Litein. Kulingana na Waziri…
Mamlaka Huru ya kutathmini utendakazi wa Polisi IPOA imejibu matamshi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Japheth Koome ambayo yaliiweka kati ya ‘mashirika yenye shughuli nyingi’ inayojihusisha na masuala ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, mwenyekiti wa IPOA Anne…
Naibu wa rais Rigathi Gachagua amempongeza Naibu chansela wa chuo kikuu cha Kenyatta Paul Wainaina kwa kutopatiana kipande cha ardhi cha chuo hicho kwa serikali ya aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Akizungumza wakati wa hafla ya kufuzu kwa mahafali 5,500 wa chuo hicho,…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amesma kuwa serikali itaweka mikakati dhabiti ili kuimarisha mazingira ya kazi kwa maafisa wa polisi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu wa polisi katika Chuo cha Polisi cha Utawala Embakasi, Kindiki ameeleza kuwa…