Hukumu ya maafisa watatu wa polisi na raia mmoja waliopatikana na hatia ya mauaji ya Wakili Willie Kimani, mteja wake Josephat Mwenda na dereva wa teksi Joseph Muiruri itatolewa tarehe 3 mwezi februari mwaka ujao. Wanne hao ni pamoja na maafisa Fredrick…
Chama cha KANU kimemsimamisha kazi Katibu Mkuu wa chama hicho Nick Salat kwa madai ya utovu wa nidhamu na ukiukaji wa katiba ya chama. Kwa mujibu wa barua ya Mwenyekiti wa Kitaifa wa KANU Gideon Moi kwa Halmashauri Kuu ya Kitaifa ya…
Baraza la madhehebu mbalimbali nchini limewapongeza wakenya na haswa vijana kwa kudumisha amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Kwenye kikao na waandishi wa habari, viongozi wa baraza hilo wamesema kuwa vijana walikubali wito kutoka kwa viongozi wa kidini na mashirika ya…
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali inapania kuwabadilisha maafisa wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi wanaolinda vituo muhimu na maafisa wa Huduma ya Kitaifa ya Vijana. Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho ya Huawei katika jumba la Kimataifa la Mikutano KICC,…
Zoezi la kuwachanja mifugo katika kaunti ya Narok limeng’oa nanga hii leo baada ya idara ya kilimo na mifugo kupokea dozi 510,000 za chanjo ya mifugo. Akizungumza baada ya kupokea dozi hizo, waziri wa kilimo Joyce Keshe amesema kuwa zoezi hilo limeanza…
Idara ya huduma za polisi nchini imeomba madereva kote nchini kuwa wastaarabu na waangalifu wanapotekeleza majukumu yao, ili kuepuka ajali za barabara, hasa wakati huu wa shamrashamra. Wito huu unafuatia ajali mbaya ya barabara kushuhudiwa asubuhi ya leo katika eneo la Governor…
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameongoza hafla ya uzinduzi wa safari ya ndege ya kwanza kabisa kuelekea katika kaunti ya Kakamega. Hafla ya uzinduzi wa safari hiyo iliandaliwa katika uwanja wa ndege wa Wilson Jijini Nairobi, na kushuhudia ndege ya abiria ya…
Huku sikukuu ya krismasi ikijongea kwa mwendo wa kasi, serikali imeanzisha oparesheni ya kudhibiti uuzaji wa pombe haramu na ulanguzi wa dawa za kulevya kote nchini. Wizara ya Mambo ya Ndani kwa ushurikiano na serikali ya Kitaifa itaongoza zoezi hilo ambalo linalenga…