Serikali yapania kuwaajiri vijana 11,000 wataokaopanda miti katika jiji la Nairobi.

Rais Wiliam Ruto hii leo ameliongoza taifa kuadhimisha siku kuu ya jamhuri ya 59.Sherehe hizo ambazo ziliandaliwa katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi ziliangazia teknolojia na ubunifu humu nchini. President @WilliamsRuto at the 59th Jamhuri Day Celebrations at the Nyayo Stadium, Nairobi.…

Rais Ruto aliongoza taifa kuadhimisha siku kuu ya 59 ya Jamhuri huku wakenya wakiwa na matarajio

BY ISAYA BURUGU 12TH DEC 2022-Rais Wiliam Ruto hivi leo ameliongoza  taifa kuadhimisha siku kuu ya jamhuri ya 59.Sherehe hizo zimendaliwa katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.Kilele cha sherehe hizo ni hotuba ya rais kwa taifa.Wannachi wanasubiri kusikia  hatuba hiyo yar ais…

Mshukiwa sugu wa Ujambazi akamatwa Kilimani Nairobi

BY ISAYA BURUGU ,12TH DEC 2022-Maafisa wa polisi eneo la Kilimani wamemtia mbaroni  jambazi sugu  anayeaminika kuwa kiongozi wa genge  ambalo limekuwa likijihusisha na visa vya wizi wa  kimabavu  eneo la kilimani na viungani mwake jijini Nairobi. Peter Waithaka mwenye umri wa…

Watoto wawili wajeruhiwa vibaya baada ya kilipuzi kuwalipukia eneo la maji moto Narok

BY ISAYA BURUGU,10TH DEC 2022-Watoto wawili wavulana wamejeruhiwa vibaya hivi leo baada kutegue kilipuzi cha kutekwa ardhini  walipokuw a wakilisha mbuzi wa baba yao katika Kijiji cha Kikurrukur  lokesheni ya  Majimoto kaunti hii ya Narok. Wavulana hao wawili wa umri wa miaka …

TAANZIA:Nguli wa Muziki wa Rhumba Tshala Muana aaga dunia

BY ISAYA BURUGU 10TH DEC 2022-Msanii mkongwe wa miziki aina ya Rumba kutoka taifa la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Tshala Muana ameaga dunia. Taarifa hizo za tanzia kutoka taifa hilo zilisambazwa kote duniani Usiku wa kuamkia leo ambapo wapenzi wa Rhumba…

Washukiwa 2 wa wizi wapatikana na simu 50 Kayole

BY RADIO OSOTUA 9TH DEC 2022-Polisi wamewatia mbaroni vijana wawili wa makamo wakishukiwa kwa makosa ya kutumia nguvu kupita kiasi kutekeleza wizi wa simu. Washukiwa hao Micheal Otieno mwenye umri wa miaka 28 na Festus Owiti mwenye umri wa miaka 30 walikamatwa…

Wakoli Wafula ndiye seneta mteule wa Bungoma

BY RADIO OSOTUA,9TH DEC,2022-David Wafula Wakoli wa chama cha Ford Kenya ametangazwa mshindi wa kiti cha useneta wa Bungoma. Uchaguzi mdogo ulifanyika Desemba 8. Kinyang’anyiro hicho kilivutia wagombeaji 11. Akizungumza baada ya kumkabidhi Wakoli cheti hicho siku ya Ijumaa, afisa msimamizi wa…

NCCK yahimiza serikali kuwashirikisha wakenya wote kabla ya kufanya maamuzi.

Muungano wa viongozi wa kidini nchini NCCK, umetoa wito wa kuhusishwa kwa wananchi kabla ya serikali kufanya maamuzi muhimu yanayoathiri wananchi wake. Katika taarifa yao alasiri ya leo, viongozi hao wamerejelea hatua ya kuondolewa kwa marufuku dhidi ya vyakula vya Kisaki almaarufu…