Washukiwa 2 wa wizi wapatikana na simu 50 Kayole

BY RADIO OSOTUA 9TH DEC 2022-Polisi wamewatia mbaroni vijana wawili wa makamo wakishukiwa kwa makosa ya kutumia nguvu kupita kiasi kutekeleza wizi wa simu. Washukiwa hao Micheal Otieno mwenye umri wa miaka 28 na Festus Owiti mwenye umri wa miaka 30 walikamatwa…

Wakoli Wafula ndiye seneta mteule wa Bungoma

BY RADIO OSOTUA,9TH DEC,2022-David Wafula Wakoli wa chama cha Ford Kenya ametangazwa mshindi wa kiti cha useneta wa Bungoma. Uchaguzi mdogo ulifanyika Desemba 8. Kinyang’anyiro hicho kilivutia wagombeaji 11. Akizungumza baada ya kumkabidhi Wakoli cheti hicho siku ya Ijumaa, afisa msimamizi wa…

NCCK yahimiza serikali kuwashirikisha wakenya wote kabla ya kufanya maamuzi.

Muungano wa viongozi wa kidini nchini NCCK, umetoa wito wa kuhusishwa kwa wananchi kabla ya serikali kufanya maamuzi muhimu yanayoathiri wananchi wake. Katika taarifa yao alasiri ya leo, viongozi hao wamerejelea hatua ya kuondolewa kwa marufuku dhidi ya vyakula vya Kisaki almaarufu…

Watoto wawili kati ya wanne waliopewa sumu na kudungwa kisu waaga dunia.

Watoto wawili kati ya wanne waliopewa sumu na kudungwa kisu na baba yao Jumanne usiku walifariki wakitibiwa katika hospitali ya rufaa ya Homa Bay. Haya yanajiri baada ya baba yao Ronnie Ochieng’ Nyore kuwadunga kisu watoto hao nyumbani kwao katika eneo la…

Serikali yaahidi kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea kozi za diploma.

Rais William Ruto amesema serikali yake iko tayari kushirikiana na kuunga mkono taasisi za elimu ya juu ili kuimarisha uwezo wao wa kiufundi. Akizungumza katika Chuo Kikuu cha TUK ambapo alizindua majengo ya masomo, Ruto amesema serikali yake itaunda mfumo utakaowezesha kila…

Mtu mmoja afariki baada ya gari lililokuwa limewabeba waombolezaji kuanguka Mwingi kuanti ya Kitui

BY ISAYA BURUGU 8TH DEC 2022-Maafa yamekumba familia moja katika eneo la Mumoni, Mwingi Kaskazini, kaunti ya Kitui baada ya teksi ya kukodi aina Probox iliyokodishwa kusafirisha mwili hadi kwenye mazishi kupinduka na kumuua mmoja wa waombolezaji. Ajali hiyo ilitokea kando ya…

Kamishna wa tume ya uchaguzi Francis Wanderi amekuwa watatu kujiuzulu

BY ISAYA BURUGU 8TH DEC 2022-Kamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipka nchini IEBC Francis Wanderi  amejiuzulu baada yar ais Wiliam Ruto kumsimamisha kazi Pamoja na makamishna wenzake  watatu.Wanderi  amekuwa kamishna watatu  kujiuzulu  baada ya Justus Nyangaya  na naibu mwenyekiti wa…

Upinzani watoa matakwa mapya kwa serikali baada ya mkutano wa Kamukunji

Viongozi wa upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja wametoa orodha ya matakwa 12 wanayotaka yashughulikiwe na serikali ili kuyaboresha Maisha ya wananchi. Viongozi hao wkiongozwa na Raila Odinga, Martha Karua na Kalonzo Musyoka, walitoa makataa yao baada ya kuandaa kikao…