Rais William Ruto alasiri la leo ameongoza shughuli za kuweka msingi kwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa mfumo wa usafiri wa reli katika jiji la Nairobi. Akizungumza katika hafla hiyo iliyoandaliwa katika kituo kikuu cha reli jijini Nairobi, rais amesema kukamilika…
Mwanafunzi mmoja anaendelea kufanyia mtihani wake wa KCSE katika hospitali ya Ololulunga Narok kusini baada ya kujifungua. Kwa mujibu wa naibu kamishana wa Narok kusini Felix Kisalu,mwanafunzi huyo amejifungua mtoto wa kike na yuko katika hali nzuri. Aidha Kisalu ameeleza kuwa mwanafunzi…
BY ISAYA BURUGU 7TH DEC 2022-Watoto wanne wamelazwa hospitalini wakiwa hali mahututi baada kudaiwa kupewa sumu na kudungwa kisu na baba yao kabla yake kuaga dunia kufuatia kujitia kitanzi. Kisa hicho kinaripotiwa kutekelezwa kwenye yao ya kukodi katika kituo cha kibiashara cha…
BY ISAYA BURUGU 7TH DEC 2022-Rais William Ruto amewataka majaji 20 wapaya walioteuliwa kuhudumu katiaka mahakama kuu kuwatumikia wananchi kwa moyo mmoja na kuzingatia maadili ya hali ya juu.Akizungumza katika ikulu ya Nairobi wakati wa kuapishwa kwa majaji hao,Ruto amewataka majaji hao …
Rais William Ruto ameweka wazi kuwa anapania kuimarisha maswala ya kidigitali na kiteknolojia humu nchini, ili kufungua nafasi zaidi za ajira ili kuinua Maisha ya wakenya wanaopata kipato chao kupitia njia za kidijitali. Akizungumza katika chuo cha mafunzo ya anuwai cha Kabete,…
Bunge la kaunti ya Narok limepitisha bajeti ya shilingi billioni 15.4. Kulingana na mwenyekiti wa bajeti Timothy Ole Maku na ambaye pia ni mwakilishi wadi wa Naikara ni kwamba kila sekta itapokea mgao kutoka kwa bajeti hiyo. Kwa upande wake kiongozi wa…
BY ISAYA BURUGU 6TH DEC 2022-Maafisa wa upelelezi wa jinai DCI huko Moro, Kunti ya Nakuru wameanzisha msako mkali kumtafuta mwanamume aliyemuua mpenziwe.Mshukiwa Moses Njeri anaripotiwa kumdunga mpenzi wake Hannah Ndirangu mwenye umri wa miaka 28 kwa kisu kifuani kabla ya kutoroka…
BY ISAYA BURUGU ,6TH DEC 2022-Shirika lisilokuwa lakiserikali linalojihusisha na upanzi wa miti la pafeed limezindua mradi wa upanzi wa miti katika shule ya msingi ya Nairasirasa kaunti ya Narok.Kufikia sasa limepanda jumla ya miti 3900 katika maeneo matatu tofauti. Kulingana na…