Aliyekuwa katibu katika wizara ya usalama wa ndani Karanja Kibicho, ameikabidhi mikoba ya wadhifa huo kwa katibu mpya Raymond Omollo ambaye anatarajiwa kuanza jukumu lake katka wizara hiyo baada ya kuapishwa kwamo mwishoni mwa wiki iliyokamilika. Akizungumza baada ya kutwaa ofisi yake…
Viongozi wa upinzani wakiongozwa Raila Odinga na Martha Karua ambaye ni kinara wa chama cha Narc Kenya, wataandaa hafla yao ya maadhimisho ya sherehe za Jamhuri, kando na ile itakayoandaliwa na kuongozwa na rais William Ruto. Karua ambaye aliiwasilisha taarifa ya muungano…
Wito umetolewa kwa wazazi kuwatunza wana wao vyema haswa wakati huu ambapo wako kwenye likizo ndefu. Huu ni wito wake naibu chifu wa Olashapani Purity Tompo. Akizungumza ofisini mwake, Bi. Tompo amesema kuwa wasichana wengi wamepachikwa ujauzito katika eneo hilo wakiwa wamewatembelea…
BY ISAYA BURUGU 5TH DEC 2022-Naibu mwenyekiti wa tume ya IEBC Juliana Cherera amejiuzulu kwenye wadhifa wake katika tume hiyo.Katika barua yake kwa rais William Ruto, Cherera alimjulisha kuhusu kujiuzulu kwake kutoka kwa baraza hilo la uchaguzi. Cherera alisema katika kipindi chake…
BY ISAYA BURUGU 5TH DEC,2022-Wiliam Ruto amesema kuwa kuna haja ya kukumbatia mifumo mengine ya kutafuta haki badili ya kutegemea mahakama pekee.Akizungumza jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa tume ya utekelezaji sheria na idara ya mahakama,Ruto amesema kuwa kwa sasa mahakama za…
Kenya imeungana na ulimwengu hii leo kuadhimisha siku ya walemavu duniani kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa Suluhu za mageuzi kwa maendeleo jumuishi. Kaunti ya Narok vilevile haijaachwa nyuma katika kuadhimisha siku hii ambapo hafla ya kuwasherehekea watu wenye ulemavu iliandaliwa katika…
Tume ya kuwaajiri waalimu nchini TSC itawaajiri waalimu 30,000 mwezi januari mwaka ujao, ili kusaidia kupunguza uhaba wa waalimu katika shule mbalimbali humu nchini, hasa wakati huu taifa litakua linashuhudiwa wanafunzi wakijiunga na madarasa ya Gredi ya saba chini ya mtaala mpya…
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC wanaotuhumiwa kwa utovu wa nidhamu na ukiukaji wa Katiba. Wanne hao ni pamoja na naibu mwenyekiti wa IEBC Juliana Cherera, Francis Wanderi, Irene Masit na Justus Nyang’aya.…