BY ISAYA BURUGU 2ND DEC 2022-Madereva wametakiwa kuwa wangalifu msimu huu wa krismasi kufuatia ajali mbaya ya barabara katika barabara kuu ya Narok Mahiu mahiu . Akizungumsa eneo Narok mashariki naibu kamishana wa eneo hilo Lorenze Kinyua amesema madereva wametakiwa kuwa wangalifu…
BY ISAYA BURUGU 2ND DEC 2022-Huku mtihani wakitaifa kwa kidato cha nne ukianza rasmo kote nchini hivi leo,Usalama umeimarishwa katika vituo vya mitihani kaunti ya Narok .Kwa mjibu wa kamishana wa kaunti ya Narok Isaac Masinde maafisa wa polisi wakutosha wametumwa kwenye…
Wazazi walio na wanafunzi wanaoendelea na masomo yao chini ya mtaala mpya wa elimu wa CBC, sasa wamepata kupumua baada ya taarifa ya jopokazi lililotwikkwa jukumu la kukusanya maoni kuhusu mtaala huo kuwasilisha ripoti yake kwa rais William Ruto. Ripoti hiyo ya…
Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Haki na Masuala ya Kisheria imependekeza kuundwa kwa jopo la kuwasikiliza Makamishna wanne wa IEBC wanaochunguzwa. Makamishna hao wanatuhumiwa kwa ukiukaji mkubwa wa katiba, uzembe na utovu wa nidhamu wakati wa uchaguzi wa Agosti 9. Kamati…
BY ISAYA BURUGU,1ST DEC,2022-Askofu wa jimbo la Eldoret Dominic Kimengich ameitaka serikali kwanza kununua mahindi kutoka kwa wakulima humu nchini kabla ya kuagiza mahidi kutoka nje ya nchi.Kwa mjibu wa askofu Kimengich ni kwamba,wakulima katika sehemu zinazokuza mahindi kwa wingi humu nchini…
BY ISAYA BURUGU ,1ST DEC 2022-Kenya inaungana na ulimwengu leo kuadhimisha siku ya ukimwi duniani huku maambukizi ya virusi vya HIV na ugonjwa wa Ukimwi yakiripotiwa kuongezeka kwa mara ya kwanza nchini katika muda wa miaka kumi iliyopita.Haya ni kwa mjibu wa…
Rais Mstaafu Uhuru Kenyattta ambaye anaongoza mchakato wa kutafuta amani kati ya serikali na waasi katika taifa ka kidemokrasia la Congo, amewataka wahusika kutoka pande zote kwenye mchakato huo, kuingia katika mazungumzo hayo wakiwa na moyo wa kupata suluhu, ili kuwezesha mchakato…
Gavana wa Meru Kawira Mwangaza amepata afueni baada ya mahakama kusitisha ombi la kutaka abanduliwe mamlakani. Akitoa uamuzi huo, hakimu Wamae Cherere alisema kuwa Bunge la Kaunti ya Meru halikufuata utaratibu mwafaka katika kuanzisha hoja hiyo. Akizungumza baada ya uamuzi huo, Kawira…