Serikali yawaonya wakaazi Narok dhidi ya kuwakeketa watoto wao kipindi hiki cha likizo ya krismasi

BY ISAYA BURUGU 29TH NOV 2022-Huku shule zikiwa zimefungwa kwa likizo ya mwezi Disemba ,wakaazi wa kaunti ya Narok wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukomesha tatizo la ukeketaji na mimba za mapema.Naibu kamishana wa Narok kusini Felix Kisalu amesema serikali iko macho…

Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa aongoza misa ya mazishi kwa mwenda zake Mary Ndumia mjini Nyeri

BY ISAYA BURUGU 29TH NOV 2022-Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa hivi leo ameongoza misa ya mazishi kwa Mwenda zake mkewe mzee Paul Ndumia Mary Ndumia Wambui.Misa hiyo imeandaliwa katika parokia ya mtakatifu Paulo karangia.Wakati wa  ibada hiyo baba…

Rais Ruto ashauri wapizani: Kuna njia zaidi za kulalamika bila maandamano.

Rais William Ruto amewaomba viongozi wa Upinzani kutafuta mbinu mbadala za kueleza kutoridhika kwao na jinsi serikali ya Kenya kwanza inatekeleza majukumu yake badala ya kuandaa maandamano. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha usambazaji cha Twiga, Rais ameweka wazi kuwa…

Uagizaji wa chakula cha GMO wasitishwa na mahakama kuu.

Mpango wa serikali wa kuagiza mahindi ya Kisaki au GMO umepigwa breki baada ya mahakama kuu kutoa agizo la kusitisha uagizaji wa vyakula hivi. Agizo hili limetolewa kusitisha uagizaji wa vyakula hivi hadi itakapoamuliwa kesi iliyowasilishwa mahakamani na muungano wa wakulima wadogo…

Zaidi ya wanafunzi milioni 2.5 waanza mtihani wao wa kitaifa.

Zaidi ya wanafunzi milioni 2.5 wa darasa la nane na sita mtawalia wameanza rasmi mtihani wao wa kitaifa ambao utakamilika siku ya jumatano. Kati ya watahiniwa hao milioni 2.5, milioni 1.2 wanaadika mitihani ya KCPE huku 1.3 wakiwa wa kwanza kufanya mitihani…

KMPDU yatishia kugoma kulalamikia Kutekelezwa kwa maelewano kati yao na Serikali.

Madaktari humu nchini wametishia kuanza mgomo iwapo mazungumzo kati yao na serikali kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano ya Pamoja (CBA) wa 2017-2021 hayatazaa matunda. Haya ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Madaktari, Wanafamasia na Madaktari wa Meno (KMPDU)…

Washukiwa 16 wa ujambazi wakamatwa Embakasi,Nairobi

BY ISAYA BURUGU 26TH NOV 2022-Washukiwa 16 wa ujambazi wamekamatwa Embakasi, Kaunti ya Nairobi. Polisi walisema washukiwa wa uhalifu mbaya walinaswa Ijumaa usiku na kufungiwa katika kituo cha polisi cha Villa, kaunti ndogo ya Embakasi. Watu hao walikamatwa saa 12.40 alfajiri na…

Watu 21 wapotea kifo baada ya basi la kampuni ya Guardian Angel kutumbukia mtoni Kisii

BY  ISAYA BURUGU ,26TH NOV 2022-Abiria 21 waliokuwa wameabiri bus la kampuni ya Gaurdian kule kisii  wamepoa kifo baada ya basi hilo kuanguka mtoni. Hata hivyo abiria wote wameokolewa  na kupelekwa kwenye hospitali ya rufaa ya kisii baada ya kupata majeraha.Basi hilo…