Madaktari humu nchini wametishia kuanza mgomo iwapo mazungumzo kati yao na serikali kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano ya Pamoja (CBA) wa 2017-2021 hayatazaa matunda. Haya ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Madaktari, Wanafamasia na Madaktari wa Meno (KMPDU)…
BY ISAYA BURUGU 26TH NOV 2022-Washukiwa 16 wa ujambazi wamekamatwa Embakasi, Kaunti ya Nairobi. Polisi walisema washukiwa wa uhalifu mbaya walinaswa Ijumaa usiku na kufungiwa katika kituo cha polisi cha Villa, kaunti ndogo ya Embakasi. Watu hao walikamatwa saa 12.40 alfajiri na…
BY ISAYA BURUGU ,26TH NOV 2022-Abiria 21 waliokuwa wameabiri bus la kampuni ya Gaurdian kule kisii wamepoa kifo baada ya basi hilo kuanguka mtoni. Hata hivyo abiria wote wameokolewa na kupelekwa kwenye hospitali ya rufaa ya kisii baada ya kupata majeraha.Basi hilo…
Taifa la Kenya limeungana na ulimwengu hii leo ili kuadhimisha mwanzo wa siku kumi na sita za kampeni dhidi ya dhulma za kijinsia. Takwimu za umoja wa mataifa kuhusiana na dhuluma za kijinsia zinaashiria kuwa kati ya kila wanawake 3, angalu mmoja…
Kinara wa muungano wa Azimio raila Odinga ameandaa kikao cha magavana wa muungano huo kutwa ya leo eneo la Naivasha katika kaunti ya Nakuru. Muungano huo uliandaa kikao hicho ili kuzungumzia maswala yanayowasibu katika muungano huo, kukiwa na wasiwasi huenda kukashuhudiwa mgawanyiko…
Wanafunzi milioni 1.2 wa darasa la nane pamoja na wanafunzi milioni 1.3 wa darasa la sita watakaofanya mtihani wa KCPE na KPSEA wiki ijayo wamefanya maandalizi ya mwisho kabla ya mitihani hiyo kuanza. Watahiniwa hao kutoka shule mbalimbali humu nchini wameonyesha utayari…
Kamati ya sheria katika bunge la kitaifa imeanza vikao vya kusikiliza malalamishi yaliyowasilishwa dhidi ya makamishna wanne wa IEBC waliojitenga na matokeo ya uchaguzi mnamo agosti mwaka huu. Wanne hao ni pamoja na naibu mwenyekiti wa tume hiyo Juliana Cherera, Irene Masit,…
Huku gumzo la vyakula vya kisaki au GMO likiendelea kutawala na kauli zikitolewa kutoka pande mbalimbali, wazee wa Njuri ncheke kutoka katika kaunti ya Meru, wamejitokeza na kuiunga mkono hatua ya serikali ya kuagiza vyakula hivi vya GMO. Wazee hao wameweka wazi…