Madereva wahimizwa kuwa waangalifu barabarani ili kuzuia maafa.

Huku taifa likijiandaa kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya waathiriwa wa ajali, almashauri ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA imeendelea kuwahamasisha madereva wa magari ya uchukuzi wa umma kuwa waangalifu barabarani. NTSA kwa ushirikiano na wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma imeandaa…

Vyakula vya kisaki kuingizwa nchini bila ushuru kwa muda wa miezi sita ijayo.

Waziri wa Biashara, Uwekezaji na Viwanda Moses Kuria ametangaza kuwa serikali itaruhusu uingizaji wa vyakula vya kisaki nchini bila ushuru kwa muda wa miezi sita ijayo. Kuria amedai hatua hiyo inalenga kupunguza uhaba wa chakula unaosababishwa na ukame unaoendelea. Rais William Ruto…

Jengo lingine la poromoka Ruaka kaunti y Kiambu mtu mmoja akiripotiwa kufariki

BY ISAYA BURUGU ,17TH NOV 2022-Wakaazi wa Ruaka  eneo la Kiambu, waligutushwa na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 5 lilokuwa  likijengwa.Jengo hili ambalo limeanguka karibu na eneo ya  Fortune Club liliangukia nyumba zingine za karibu.Duru zasema kuwa mtu mmoja ameafariki kutokana na…

Kasarani Building Collapse

Zacharia Njeru aahidi kukabiliana na tatizo la maporomoko baada ya mkasa wa Kasarani.

Waziri wa ardhi humu nchini Zacharia Njeru ameahidi kuwakabili wajenzi wote wanaoendeleza ujenzi ambao haujaafikia viwango hitajika. Waziri njeru alisema haya baada ya kuzuru eneo la mkasa ambapo jengo la ghorofa saba liliporomoka katika eneo la Kasarani Jijini Nairobi. Njeru aliyeandamana na…

Rais Ruto ajitenga na semi za kubadilisha katiba kuhusu muda wa Kuhudumu.

Ruto ameongeza kuwa wabunge wana haki yao ya kutoa maoni ila akaahidi kujitenga na semi zozote za aina hiyo.

SPIKA WATENGAULA ATANGAZA KUSITISHA MAHOJIANO YA MAKATIBU WKAUU WATEULE

BY ISAYA BURUGU ,16TH NOV 2022-Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula, ametangaza kusitishwa kwa zoezi la kuwapiga msasa Makatibu Wakuu walioteuliwa, kufuatia agizo la mahakama ya leba kusitisha zoezi hili, ili kupisha kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi iliyowasilishwa na chama cha…

Kenta apongezwa kwa kuondoa kesi ya kupinga ushindi wa Ntutu kama gavana wa Narok

BY ISAYA BURUGU 16TH NOV 2022-BAADHI YA viongozi katika kaunti ya narok wamejitokeza kumpongeza aliyekuwa mgombeaji wa kiti cha ugavana narok kupitia chama cha odm moitalel ole kenta kwa kuwasilisha ombi kwenye mahakama kuu ya narok kuondoa kesi aliyowasilisha kwenye mahakama hiyo…

Uhuru Kenyatta

Congo DR: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa wito wa mazungumzo ili kupata amani.

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amewaomba wapiganaji katika maeneo tofauti ya taifa la Congo DR, kukumbatia njia mbadala za kutatua tofauti zao, na kusitisha mapigano yanayoendelea katika taifa hilo. Uhuru alikua akizungumza baada ya kuhudhuria kikao cha mashauriano na kutafuta njia za kurejesha…