Maombi manne yamewasilishwa katika bunge la kitaifa kuwataka makamishna wanne wa tume ya IEBC Juliana Cherera, Justus Nyang’aya, Francis Wanderi na Irene Masit kuondolewa ofisini. Akiwasilisha taarifa za maombi haya, spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetangula, amesema kuwa maombi haya yaliwasilishwa…
Gavana wa kaunti ya Lamu Isa Timamy, sasa ndiye kinara mpya wa chama cha Amani National Congress almaarufu ANC baada ya kukabidhiwa mikoba ya kuongoza chama hicho mapema leo na mkuu wa mawaziri humu nchini Musalia Mudavadi. Mudavadi alijiondoka kutoka katika usimamizi…
BY ISAYA BURUGU 15TH NOV,2022-Ripoti iliyozinduliwa na taasisi ya kitaifa kuhusu saratani imefichua kuwa wagonjwa wawili kati ya watatu wanaogunduliwa na ugonjwa wa saratani wako na uwezekano mkubwa wa kuaga dunia kutokana na ugonjwa huo. Kwa mjibu wa taasisi hiyo ,asilimia 70…
BY ISAYA BURUGU ,15TH NOV,2022- WITO umetolewa kwa wafanyibiahsara sawa na taasisi za kifedha katika kuaunti hii kujitolea katika kuwasaidia walioadhirika na baa la njaa kufuatia uukame unaendelea kushudiwa katika sehemu mbali mbali za nchi sawa na kaunti hii ya Narok. Ni…
BY ISAYA BURUGU 1TH NOV,2022-Tajiri wa Marekani Bill Gates yuko humu nchini ambapo amepangiwa kufanya msururu wa mazungumzo ya umma.Mwanzilishi huyo wa Microsoft anatazamiwa kukutana na maafisa wa serikali na washikadau wengine katika sekta ya kibinafsi.Gates atazuru kaunti ya Makueni ambako atakaribishwa…
Waziri wa usalama wa ndani Prof Kithure Kindiki ametoa Onyo kali kwa wahalifu wanaowahangaisha wananchi katika maeneo tofauti ya taifa, akisema kuwa serkali imeweka mipango kabambe ya kukabiliana nao ili kuhakikisha kuwa wakenya wanaendelea kutekeleza majukumu yao kwa amani pasi na hofu…
Inspekta jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa idara ya polisi iko ngangari kukabiliana na visa vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa katika miji mbalimbali. Kwenye kikao na waandishi wa habari, Koome amedokeza kuwa watatumia njia zote walizo nazo kushughulikia wizi kwa kutumia…
Kaimu mkurugenzi mkuu katika wizara ya afya dkt. Patrick Amoth amewahimiza wakenya kutokuwa na hofu kufuatia wimbi la saba la ugonjwa wa korona unaoshuhudiwa humu nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Amoth amesema kuwa hakuna haja ya kurejesha vizuizi vya kukinga ugonjwa…