BY ISAYA BURUGU 11TH NOV,2022-Maafisa wa polisi kule Kisii wanachunguza kisa ambapo Mwanamume wa umri wa makamo kutoka Nyatieko, eneo la Kitutu Chache Kusini, kaunti hiyo ya Kisii amemchinja mama yake baada ya kutofautiana kuhusu chakula. Wanakijiji wa Bomiruga walisema mshambuliaji alitenda…
BY ISAYA BURUGU,11TH NOV,2022-Inspekta mkuu mpa wa polisi Japheth Koome ameapishwa rasmi kuanza jukumu lake.Hafla ya kuapishwa kwa Koome imeandaliwa katika mahakama ya juu nchini na kuongozwa na jaji mkuu Martha Koome. Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa kwake Koome ameapa kukabiliana…
Mbunge John Kiarie akiwasilisha mswada wake Bungeni katika kikao cha bunge la taifa Alhamishi 11/10/2022
Kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameishutumu serikali kwa kuunga mkono uvunjaji wa sheria na pia kwa kile alichokitaja kama hulka ya kutojali. Katika taarifa yake mapema leo, Bwana Odinga, pia ameisuta ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka…
Maafisa nane kati ya tisa wa kitengo cha SSU kilichovunjwa wamerudishwa rumande huku mmoja wao akiachiliwa kwa dhamana ya kima cha shilingi laki tano. Tisa hao walifikishwa katika mahakama ya kahawa mbele ya hakimu Diana Mochache ambapo mmoja wao aliweza kudhibitisha kuwa…
Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki KCCB, limewapongeza wakenya kwa kudumisha amani, wakati na baada ya uchaguzi mkuu ulioandaliwa tarehe tisa mwezi agosti mwaka huu. Wakitoa taarifa kwa vyombo vya habari, baraza hilo limewahimiza viongozi waliochaguliwa kuweka kando masuala ya siasa na…
BY ISAYA BURUGU/BBC,10,NOV 2022-Uwanja wa ndege wa Bukoba kaskazini – magharibi mwa Tanzania umefunguliwa tena kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ya abiria ilianguka katika Ziwa Viktoria ilipokuwa ikijaribu kutua kwenye uwanja huo Jumapili iliyopita.Afisa utawala katika mji huo…
BY ISAYA BURUGU 10 NOV,20222-Wahudumu wa bodaboda mjini Kisii wamezindua mikakati ya kujihakikishia usalama.Hatua hiyo inafuatia kuongezeka kwa visa vya uhalifu vinavyowahusu wahudumu hao. Inaripotiwa kuwa wahalifu wamekuwa wakiwaendea wahudumu hao kwenye stendi wakijifanya abiria na wanapobebwa wakifika njiani wanageuka na kuwavamia…