Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu iwapo itaondoa kesi ya ulaghai inayomkabili Naibu Rais Rigathi Gachagua na watu wengine tisa. Hii ni baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha ombi la kutaka kesi hiyo iondolewe kwa misingi kuwa uchunguzi wa kesi hiyo haujakamilika.Kwa mujibu…
Rais William Ruto amekuwa mwenyeji wa rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ambaye yuko katika ziara rasmi ya siku mbili humu nchini. Akizungumza walipokuwa wakitoa taarifa ya pamoja katika ikulu ya rais jijini Nairobi, rais Ruto amepongeza hatua ya kuondolewa kwa masharati…
BY ISAYA BURUGU,09,NOV 2022-Maafisa wa polisi mjini Narok wamewatia mbaroni watu 18 wanaohusishwa na uuzaji wa pombe haramu mjini Narok.Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde aliyedhibitisha kukamatwa kwao amesema kuwa oparesheni hiyo ililenga wagemaji na watumizi wa pombe hiyo. Vilevile amesema…
BY ISAYA BURUGU,09,NOV2022-Waziri wa elimu Ezekiel Machogu hivi leo amefanya mkutano na viongozi wa tume ya kuwaajiri ywalimu nchini TSC. Katika mkutano huo uliyoandaliwa katika afisi ya Waziri jumba la jogoo jijini Nairobi,maswala mengi yanayohusu elimu bora kwa wanafuzni nchini yamejadiliwa. Waziri…
BY ISAYA BURUGU/BBC ,09,NOV 2022-Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake jijini Dar Es Salaam imetangaza kutuma kikosi cha maafisa na wataalamu wa uchunguzi na uchambuzi wa masuala ya usalama wa ndege kusaidia uchunguzi wa chanzo cha ajali ya ndege ya Precision Air…
Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanatarajiwa kurejea kazini asubuhi ya kesho ( Jumatano 9.11.2022 Saa kumi na mbili asubuhi), baada ya mahakama ya leba kuwaagiza kusitisha mgomo huo na kurejea kazini. Marubani wa KQ wamekua katika mgomo kwa muda…
Hospitali za kiwango cha Level 5 kote nchini zinahitajika kuwa na mdaktari wengi waliofuzu pamoja na mashine za matibabu zinazohitajika ili kuweza kuwahudumia wananchi kwa wepesi. Kauli hii imetolewa na kamati ya bunge la seneti inayotathmini maswala ya afya, baada ya kuwahoji…
Tume ya Kitaifa ya Huduma Kwa Polisi imepata msemaji mpya.Dkt Resila Atieno Onyango sasa ndiye msemaji mpya wa tume hiyo. Bi. Onyango ndiye Mwanamke wa pili kuhudumu kama msemaji wa polisi nchini ambapo amechukua nafasi ya Bruno Shioso ambaye alipandishwa cheo na…