BY ISAYA BURUGU,09,NOV 2022-Maafisa wa polisi mjini Narok wamewatia mbaroni watu 18 wanaohusishwa na uuzaji wa pombe haramu mjini Narok.Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde aliyedhibitisha kukamatwa kwao amesema kuwa oparesheni hiyo ililenga wagemaji na watumizi wa pombe hiyo. Vilevile amesema…
BY ISAYA BURUGU,09,NOV2022-Waziri wa elimu Ezekiel Machogu hivi leo amefanya mkutano na viongozi wa tume ya kuwaajiri ywalimu nchini TSC. Katika mkutano huo uliyoandaliwa katika afisi ya Waziri jumba la jogoo jijini Nairobi,maswala mengi yanayohusu elimu bora kwa wanafuzni nchini yamejadiliwa. Waziri…
BY ISAYA BURUGU/BBC ,09,NOV 2022-Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake jijini Dar Es Salaam imetangaza kutuma kikosi cha maafisa na wataalamu wa uchunguzi na uchambuzi wa masuala ya usalama wa ndege kusaidia uchunguzi wa chanzo cha ajali ya ndege ya Precision Air…
Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanatarajiwa kurejea kazini asubuhi ya kesho ( Jumatano 9.11.2022 Saa kumi na mbili asubuhi), baada ya mahakama ya leba kuwaagiza kusitisha mgomo huo na kurejea kazini. Marubani wa KQ wamekua katika mgomo kwa muda…
Hospitali za kiwango cha Level 5 kote nchini zinahitajika kuwa na mdaktari wengi waliofuzu pamoja na mashine za matibabu zinazohitajika ili kuweza kuwahudumia wananchi kwa wepesi. Kauli hii imetolewa na kamati ya bunge la seneti inayotathmini maswala ya afya, baada ya kuwahoji…
Tume ya Kitaifa ya Huduma Kwa Polisi imepata msemaji mpya.Dkt Resila Atieno Onyango sasa ndiye msemaji mpya wa tume hiyo. Bi. Onyango ndiye Mwanamke wa pili kuhudumu kama msemaji wa polisi nchini ambapo amechukua nafasi ya Bruno Shioso ambaye alipandishwa cheo na…
Mahakama ya leba imewaamuru marubani kurejea kazini kufikia kesho mwendo saa kumi na mbili alfajiri bila masharti yoyote. Mahakama hiyo iliwaita maafisa 11 wa KALPA baada ya kukataa kusitisha mgomo huo ambao umetajwa kuwa kinyume cha sheria. Marubani hao ambao walifika mbele…
BY ISAYA BURUGU,08 NOV,2022Japheth Koome aliyetuliwa kama inspekta mkuu wa polisi amesema kuwa nia yake ni kuhakikisha kuwa idara ya polisi inafanya kazi ipasavyo huku akilenga kutetea maslahi ya maafisa wa polisi.Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya uteuzi bungeni kupigwa msasa Koome…