Mazungumzo ya amani kati ya Ethiopia na waasi wa Tigray yafanyika jijini Nairobi.

Marais wastaafu Olusegun Obasanjo na Uhuru Kenyatta wameongoza mazungumzo ya amani kati ya maafisa wa serikali ya ethiopia na wawakilishi wa kundi la wapiganaji wa Tigray jijini Nairobi. Viongozi hao wawili wameelezea matumaini kuwa mazungumzo hayo yatarejesha utulivu na amani ya kudumu…

Shuguli za usafiri zaendelea kutatizika huku mgomo wa marubani ukiingia siku ya tatu.

Mgomo wa marubani umeingia siku ya tatu hii leo huku shuguli katika viwanja vya ndege zikiendelea kutatizika. Licha ya shirika la KQ kuongeza idadi ya safari, hali bado ni tete ikizingatiwa kwamba pande zote zimekosa kuafikiana. Aidha afisa mkuu mtendaji wa shirika…

Uhuru aelezea matumaini kuwa mazungumzo yanayoendelea yataleta amani Ethiopia

 BY ISAYA BURUGU,07 NOV,2022- Mazungumzo  ya kusaka amani katika ya serikali ya Ethiopia na waasi katika taifa hilo  yameanza jijini Nairobi. Mazungumzo hayo yanaongzwa na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta na rais wa zamani wa Nigeria Ole gusun Obasanjo. Kundi la TPLF pia…

Kongamano la kujadili mbinu za kukabili mabadiliko ya tabianchi wa COP27 waanza nchini Misri.

BY ISAYA BURUGU,07.NOV,2022-Wakuu wa nchi na serikali wanatarajiwa kutoa hoja zao kuhusu hatua za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi wakati wa  Mkutano wa COP27 nchini Misri. Awamu ya kwanza ya mkutano huo itajumuisha hotuba za viongozi kutoka nchi zenye uchumi…

Rais Ruto Turkana

Rais Ruto aahidi msaada wa chakula kila mwezi kwa Shule, Hospitali na wananchi wa Samburu.

Rais William Ruto ameongoza msururu wa mipango ya Serikali ya kitaifa ya kutoa chakula cha msaada kuzisaidia familia zilizoadhirika na uhaba wa chakula kufuatia kiangazi kinachoshuhudiwa katika sehemu mbali mbali nchini.

Sakaja amtuza mkaazi aliyeripoti utupaji haramu wa taka.

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amemtuza mkazi mmoja aliyerekodi na kuripoti utupaji haramu wa taka katika mtaa wa Ruai, kitongoji cha jiji. Mwanasiasa huyo kijana alithibitisha msimamo huo katika chapisho la mtandao wa kijamii ambapo pia alipakia picha za uchafu huo. I’m…

Abiria walikashfu Kenya Airways kwa kutoweka mikakati mwafaka.

Abiria waliokuwa na hasira wamewakashfu Waziri Murkomen na mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege nchini Kenya Airways kwa kutoweka mikakati mwafaka ya awali ili kuwaondolea dhiki. Abiria hao waliozungumza katika uwanja wa ndege wa JKIA wamesema usimamizi wa shirika hilo na serikali…

Serikali yakitaifa yaendeleza mpango wa utoaji wa chakula cha msaada kwa wananchi walioadhirika na ukame

BY ISAYA BURUGU,05,NOV 2022-Serikali ya kitaifa imeanzisha zoezi la usambazaji wa chakula kuzisaidia familia zilizoadhirika na uhaba  wachakula kufuatia kiangazi kinachoshuhudiwa katika sehemu mbali mbali nchini.Zoezi hilo linalenga kaunti 12 kote nchini zilizoadhirika vibaya.Naibu rais Rigathi Gachagua,amaezindua zoezi hilo la usamabzaji wa…