Mahakama yasema mwekezaji kutoka Rwanda Desire Muhinyuza ndiye mmiliki wa biashara inayogombaniwa ya Ksh.400M.

27TH DEC 2023-Mahakama imemtangaza mwekezaji kutoka Rwanda Desire Muhinyuza kuwa mmiliki wa biashara inayogombaniwa ya Ksh.400M.Biashara ndogo ya Stay online yenye thamani ya shilingi milioni 400 inamilikiwa kihalali na mwekezaji raia wa Rwanda Desire Muhinyuza, kulingana na uamuzi wa Mahakama Kuu. Desire…

Afisa wa polisi ajipiga risasi na kujiua katika kaunti ya Meru

 27TH DEC,2023- Afisa wa polisi aliye katika kituo cha polisi cha Ngusishi huko Buuri, Kaunti ya Meru hivi leo  alijipiga risasi na kujiua ndani ya nyumba yake katika boma la kituo hicho. Koplo huyo, ambaye alikuwa msimamizi wa kituo cha polisi, alijipiga…

Watu sita wafariki kwenye visa tofauti vya ajali katika sehemu mbali mbali za nchi

26TH DEC,2023-Watu wanne wamefariki papo hapo  baada ya dereva wa lori kupoteza mwelekeo na kupelekea lori lake kuacha Barabara  na kuwagonga wanne hao katika eneo la Bulemia huko Budalangi kaunti ya Busia.Polisi wanasema Lori hilo lilikuwa likiendeshwa katika Barabara ya  Mundere Port…

Mahakama ya Rufaa yaidhinisha kuwa dharura ombi la seneta wa Busia Okiya Omtatah la kutaka kufutilia  mbali maagizo yaliyotolewa chini ya Sheria ya Fedha ya 2023.

26TH DEC ,2023-Mahakama ya Rufaa imeidhinisha kuwa dharura ombi la seneta wa Busia Okiya Omtatah la kutaka kufutilia  mbali maagizo yaliyotolewa chini ya Sheria ya Fedha ya 2023. Waombaji hao wanadai kwenye karatasi za mahakama kwamba majaji wasomi walikosea kisheria na ukweli…

Wakristo kote duniani washerehekia sikukuu ya Krismasi leo kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo .

25TH DEC,2023-Wakristo kote duniani wanasherehekia sikukuu ya Krismasi leo kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kwenye mahubiri yake ya mkesha wa sikukuu ya Krismasi, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewakumbusha waumini juu ya umuhimu wa amani.…

Taasisi za elimu ya  Utotoni (ECD), shule za msingi na sekondari kufunguliwa kwa muhula wa kwanza  mnamo Januari 8 mwaka 2024

 25TH DEC,2023-Waziri wa  Mawaziri wa Elimu, Ezekiel Machogu, ametangaza kwamba taasisi za elimu ya  Utotoni (ECD), shule za msingi na sekondari zitafunguliwa kwa muhula wa kwanza  mnamo Januari 8 mwaka 2024. Katika taarifa iliyotolewa leo , CS Machogu alibainisha kuwa wanafunzi wa…

Margaret Nyakang'o

Kesi ya uhalifu inayomkumba mdhibiti wa Bajeti Margret Nyakang’o yasimamishwa

BY ISAYA BURUGU,13TH DEC,2023-Kesi ya jinai dhidi ya Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o imesimamishwa.Hii ni baada ya kesi ya Hakimu Alex Ithuku katika mahakama ya Mombasa kuambiwa kuwa kuna agizo la Mahakama ya Juu lililotolewa kusimamisha kufunguliwa kwake mashtaka. Hakimu aliamuru kesi…

Rais Ruto amtuza mwanariadha Faith Kipyegon tuzo ya juu Zaidi ya Elder of the Order of the Golden Heart of Kenya

BY ISAYA BURUGU,12TH DEC,2023-Rais William Ruto amethibitisha kumvika mwanariadha mshikilizi mara mbili wa rekodi za dunia Faith Kipyegon kwa tuzo ya juu Zaidi ya Elder of the Order of the Golden Heart of Kenya (E.G.H.)Kuvikwa huku kunajiri saa chache tu baada ya…