Sakaja amtuza mkaazi aliyeripoti utupaji haramu wa taka.

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amemtuza mkazi mmoja aliyerekodi na kuripoti utupaji haramu wa taka katika mtaa wa Ruai, kitongoji cha jiji. Mwanasiasa huyo kijana alithibitisha msimamo huo katika chapisho la mtandao wa kijamii ambapo pia alipakia picha za uchafu huo. I’m…

Abiria walikashfu Kenya Airways kwa kutoweka mikakati mwafaka.

Abiria waliokuwa na hasira wamewakashfu Waziri Murkomen na mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege nchini Kenya Airways kwa kutoweka mikakati mwafaka ya awali ili kuwaondolea dhiki. Abiria hao waliozungumza katika uwanja wa ndege wa JKIA wamesema usimamizi wa shirika hilo na serikali…

Serikali yakitaifa yaendeleza mpango wa utoaji wa chakula cha msaada kwa wananchi walioadhirika na ukame

BY ISAYA BURUGU,05,NOV 2022-Serikali ya kitaifa imeanzisha zoezi la usambazaji wa chakula kuzisaidia familia zilizoadhirika na uhaba  wachakula kufuatia kiangazi kinachoshuhudiwa katika sehemu mbali mbali nchini.Zoezi hilo linalenga kaunti 12 kote nchini zilizoadhirika vibaya.Naibu rais Rigathi Gachagua,amaezindua zoezi hilo la usamabzaji wa…

Shughuli za kawaida zasambaratika katika uwanja wa ndege wa JKIA huku wafanyikazi wa shirika la KQ wakianza mgomo

BY ISAYA BURUGU,05,NOV 2022-Waziri wa uchukuzi  Kipchumba Murkomen ametaja mgomo wawafanyikazi wa shirika la ndege nchini Kenya Aiways  kuwa kinyume cha sheria na usiohalali.Haya yanajiri  baada ya sehemu ya  marubani wa shirika hilo   na wale wa mungano wa marubani nchini KALPA  kuanza…

Alfred mutua

Vigezo vipya vyapachikwa kwa wanaopania kuelekea Saudi Arabia kufanya kazi.

Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Alfred Mutua ameahidi kushughulikia jinamizi la mizozo inayowakumba wafanyikazi wa Kenya wanaohangaika katika mataifa ya nje hasa mataifa ya uarabuni wanapoenda kutafuta ajira. Akizungumza baada ya ziara yake katika taifa la Saudi Arabia, Waziri Mutua aliweka…

Chief Justice

Mahakama yapanga kuanza vikao vya usiku Nairobi na Mombasa.

Idara ya mahakama inapania kuongeza muda wa kuhudumu kwa mahakama katika badhi ya miji humu nchini, ili kusaidia kupunguza mzigo na mrundiko wa kesi katika mahakama humu nchini. Haya ni kwa mujibu wa Jaji mkuu nchini Bi Martha Koome ambaye amesema kwamba…

Ichung’wa amjibu Raila Odinga kufuatia hotuba yake ya hapo jana.

Kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichung’wa amemjibu Kinara wa azimio la umoja-one Kenya Raila Odinga kufuatia hotuba yake ya hapo jana. Akizungumza na waandishi wa habari, Ichung’wa amesema kuwa iwapo Odinga anayafahamu majina ya maafisa wa polisi waliohusika na mauaji ya wafanyakazi…

Serikali yajitolea kuboresha mgao wa bajeti kwa mahakama kila mwaka.

Ripoti ya utenda kazi wa mahakama nchini sawa  na utekelezaji  wa haki iliyozinduliwa leo imebainisha kuwa upungufu wa wafanyakazi wa idara hiyo ndio kikwazo kikuu katika utekelezaji jukumu lake. Akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa katika majengo ya mahakama ya juu, rais…