BY ISAYA BURUGU,4TH ,NOV 2022-Watu watatu wametiwa mbaroni katika kaunti ya Homa Bay kuhusiana na ulanguzi wa Watoto.Kwa mjibu wa taarifa kutoka kwa polisi ni kwamba maafisa wa usalama walipata Habari kuwa gari moja la kibinafsi lilikuwa linamsafirisha mtoto kutoka Oyugis kuelekea…
BY ISAYA BURUGU,04,NOV 2022-Ripoti ya utenda kazi wa mahakama nchini sawa na utekelezaji wa haki iliyozinduliwa leo imebainisha kuwa upungufu wawafanyikazi wa idara hiyo ndio kikwzzo kikuu katika utekelezaji jukumu lake.Cecilia Kabura ana mengi Zaidi. Ripoti hiyo iliyozinduliwa katika majengo ya mahakama…
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati bunge la kitaifa kuhusu maswala ya Bajeti na Matumizi ya fedha. Katika wadhifa huo, Ndindi atakuwa na uwezo wa kuwaalika wawakilishi wa kamati za idara mbalimbali kutoa mapendekezo yao kuhusu yale wangetaka…
Kinara wa azimo la umoja Raila Odinga amesema kuwa hatua ya serikali kuanzisha uchunguzi dhidi ya maafisa tisa wa kitengo cha SSU kilichovunjwa, inanuia kumdhalilisha aliyekuwa mkurugenzi wa DCI George Kinoti. Kwenye kikao na waandishi wa habari, Odinga amedokeza kuwa iwapo serikali…
Jaji Mkuu Martha Koome amezindua Wiki ya Huduma kwa Watoto katika Mahakama ya Juu. Wiki ya Huduma kwa Watoto iliagizwa na Baraza la Kitaifa la Haki ya Utawala mwaka jana. Wiki hii ni maalum kwa ajili ya kutatua kesi za watoto katika…
BY ISAYA BURUGU,03,NOV,2022-Naibu chanzela wa chuo kikuu cha Kenyatta Profesa Paul Wainaina amerejea chuoni humo hivi leo na kulakiwa kwa shangwe na nderemo kutoka kwa wanafunzi na wahadhiri. Hii ni baada yake kuachishwa kazi mwezi Julai mwaka huu kufuatia msimamo wake kuhusu…
BY ISAYA BURUGU,03,NOV,2022-Wanaume wawili wamefariki dunia baada ya kupigwa na umeme asubuhi ya leo huko Thika Kaunti ya Kiambu. Kwa mjibu wa duru kutoka eneo hilo,wawili hao wanaripotiwa kukumbana na mauti yao walipokuwa wakiharibu milingoti ya taa za mtaani ili kuiba vifaa…
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameiomba mahakama ya rufaa kukataa ombi la mbunge wa sirisia John Waluke la kuachiliwa kwa dhamana. Mbunge huyo alikata rufaa baada ya kuhukumiwa kifungu cha miaka 67 gerezani kwa kosa la kuipunja bodi ya uhifadhi…