Maeneo ya Nairobi, Pwani na Mlima Kenya yalishuhudia hitilafu ya umeme mapema hii leo hali iliyotatiza shuguli zinazotegemea umeme katika maeneo mengi nchini. Kupitia taarifa, kampuni ya Kenya power ilisema kuwa hitilafu hiyo ilisababishwa na kutatizika kwa mitambo inayosambaza umeme. pic.twitter.com/JBFXEQnWvl —…
BY ISAYA BURUGU,02,NOV 2022-Takribani yapata zaidi ya juma moja hivi baada ya mawaziri wapya chini ya utawala wa serikali ya Kenya Kwanza kuanza majukumu yao, Rais William Ruto ametangaza orodha ya makatibu wakuu 51.Majina hayo ni wale waliochaguliwa kuhudumu katika nyadhifa tofauti…
BY ISAYA BURUGU,02,NOV,2022-Waziri wa kilimo kaunti ya Narok Joyce Keshe amesema bei ya mifugo imesalia ya kawaiada katika kaunti ya Narok licha ya kiangazi kikali kinachoshuhudiwa katika kaunti hii saw anna kaunti zingiine ncihini. Keshe amesema kwa sasa Ng,ombe anauzwa kwa zaidi…
BY ISAYA BURUGU.,02,NOV,2022-Mwanamme mmoja jijini Mombasa ameshtakiwa kwa kosa la kuwashambulia polisi wawili.Taarifa zasema kuwa , polisi hao wawili walikuwa wanafanya doria katika sehemu ya Kibokoni wakati walikutana na mwanaume huyo na kutaka kumsaili wakati walipatana na harufu kali ya dawa ya…
BY ISAYA BURUGU,02,NOV,2022- Waziri wa utumishi wa umma Bi Aisha Jumwa anasema kuwa amejitolea kuhakikisha kuwa watumishi wa umma wanaboreshewa mazingira ya utenda kazi ili wajihisi weynye motisha. Akizungumza lipozuru kituo cha huduma center jijini Mombasa,Waziri amesema kuwa kwa muda murefu watumishi…
Waziri wa biashara uwekezaji na viwanda Moses Kuria amesema kuwa serikali inapania kuiondoa biashara ya Nguo Kuu kuu almaarufu “Mtumba” humu nchini, akisema kuwa hili litasaidia viwanda vya kutengeneza nguo nchini kujiinua na kuwaajiri wakenya wengi Zaidi. Katika kikao na waandishi wa…
Vita vya ubabe kati ya wawakilishi wadi wa kunti ya Meru na gavana wa kaunti hiyo Bi. Kawira Mwangaza vimeonekana kuchukua mkondo tpfauti, baada ya wawakilishi wadi hao kukataa kuwaidhinisha mawaziri 7 kati ya 10 waliopendekezwa na gavana huyo. Katika orodha ya…
Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi Francis Atwoli ameunga mkono pendekezo la rais William Ruto la kuongeza malipo ya NSSF kutoka Ksh.200 ya sasa hadi 6%. Hii ina maana kwamba wafanyakazi watakuwa wanakatwa 6% ya mishahara yao ya kila mwezi.…