Huku zoezi la kusambaza chakula cha msaada likiendelea katika maeneo mbalimbali kaunti ya Narok, onyo imetolewa kwa watu wanaouza chakula hicho kwa wakaazi wa maeneo yanayokabiliwa na baa la njaa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa shehena ya chakula cha msaada, gavana wa…
Jopokazi la wanachama 42 lililoteuliwa na Rais William Ruto kutathmini mfumo wa Elimu nchini na kutoa mapendekezo litaanza kuendesha vikao vya ushiriki wa umma mnamo Jumanne, Novemba 1. Kulingana na Mwenyekiti wa jopo hilo Prof. Raphael Munavu, zoezi hilo litaendeshwa katika kaunti…
Mawaziri 22 pamoja na Mkuu wa Sheria wametwaa nyadhifa zao rasmi baada ya kula kiapo cha utumishi katika hafla ya kuapishwa iliyoandaliwa katika ikulu ya Nairobi Leo Alhamisi 27.10.2022. Hafla hiyo iliyoongozwa na Rais William Ruto mwendo wa Saa tano, ilishuhudia maafisa…
https://www.youtube.com/watch?v=JW-nHAUVRaw
Wabunge katika bunge la kitaifa sasa wanaitaka tume ya huduma za walimu nchini TSC kusitisha zoezi la kuwahamishwa walimu kwa lazima wakisema kuwa waalimu wana haki ya kufanya kazi mahali popote katika taifa hili hata katika maeneo wanayoyotoka. Wabunge hao walikua wakiijadili…
Waziri Mteule wa Ulinzi Aden Duale amemwandikia Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula waraka wa kujiuzulu kama Mbunge wa eneobunge la Garissa mjini, kama mojawapo ya njia kujiandaa kuchukua wadhifa wake mpya. Wengine waliotoa taarifa za kujiuzulu ni pamoja na seneta…
Gavana wa Narok Patrick Ntutu amezindua shehena ya pili ya dawa ambayo itasambazwa kwa hospitali na zahanati mbalimbali katika kaunti ya Narok. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo katika hospitali ya rufaa ya Narok Ntutu amedokeza kuwa serikali yake inapania kuimarisha huduma za…
Mahakama ya Ajira mjini Nakuru imeamuru kusitishwa mara moja kwa mgomo wa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Egerton ili kutoa mwanya kwa mazungumzo kati ya pande husika. Katika uamuzi wake siku ya Jumanne 25.10.2022, Jaji Hellen Wasilwa ameagiza usimamizi wa chuo hicho…