Gavana Ntutu aahidi kukarabati barabara zaidi katika maeneobunge ya Narok ili kurahisisha usafiri.

Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amesema kuwa serikali yake inapania kukarabati barabara Zaidi katika maeneobunge ya Narok ili kurahisisha usafiri.Akizungumza wakti wa hafla ya maadhimisho ya mashujaa katika shule ya msingi ya DEB eneo la Kilgoris, Ntutu amesema kuwa…

Kenya Redcross

Ugonjwa wa Anthrax wapigwa teke eneo la Naikarra Narok Magharibi kwa juhudi za wahudumu wa afya wa kujitolea.

Wakaazi hawa hawakuwa na ufahamu wa athari za tabia ya ulaji wa nyama ya mifugo waliokufa, na hivyo waliendelea na shughuli hii kwa muda hadi shirika la msalaba mwekundu lillipoamua kuingia kati na kujaribu kutatua tatizo hili.

Idara ya DCI yapata mkurugenzi mpya baada ya Amin kuapishwa rasmi.

Jaji mkuu Martha Koome amemapisha rasmi Amin Ibrahim Mohammed kama mkrugenzi mpya wa idara ya jinai katika jengo la mahakama ya juu jijini Nairobi asubuhi ya leo.Ibrahim anachukua nafasi ya George Kinoti aliyejiuzulu mwezi jana. C J Martha Koome presided over the…

mshukiwa anaswa

Mshukiwa sugu wa ukataji Miti anaswa Loita, Narok Kusini.

Mwanaume mmoja wa umri wa makamo ametiwa mbaroni katika msitu wa Loita eneobunge la Narok kusini akihusishwa na hulka ya ukataji wa miti na uharibifu wa misitu. Akidhibitisha haya, naibu kamishana wa kaunti ndogo ya Narok kusini Bw. Felix Kisalu amesema mwanaume…

President Ruto

Serikali itajenga nyumba 200,000 za bei rahisi kila mwaka – Rais William Ruto

Rais William Ruto amezindua mpango wa nyumba ya bei nafuu katika eneo la ongata rongai kaunti ya Kajiado adhuhuri ya leo, mpango unaopania kuwafaidi Zaidi ya wananchi 734 katika kaunti hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Ruto amesema kuwa serikali yake inapania…

Gavana Ntutu aongoza hafla ya kuapishwa kwa kaimu katibu wa kaunti ya Narok Bw. John Tuya.

Gavana wa kaunti hii ya Narok Patrick Ntutu asubuhi ya leo ameongoza hafla ya kuapishwa kwa kaimu katibu wa kaunti Bw. John Tuya katika jengo la bunge la kaunti ya Narok.Kupitia mtandao wake wa twitter,gavana Ntutu amesema kuwa Bw. Tuya atasimamia masuala…

Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya yatoa makataa ya siku 60 kwa kampuni za mwasiliano kuendelea kusajili laini za simu.

Kampuni za mawasiliano kama vile Safaricom na Airtel  zimeagizwa kufunga laini za simu ambazo hazitasajiliwa katika siku 60 zijazo katika hatua ya kutekeleza uzingatiaji wa zoezi la usajili lililofungwa Jumamosi. Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Jumatatu, Mamlaka ya Mawasiliano ya…

Mahakama yaahirisha kesi ya ufisadi ya shilingi bilioni 7.4 dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na washukiwa wengine.

Mahakama imeahirisha kwa muda wa wiki tatu kesi ya ufisadi ya shilingi bilioni 7.4 dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na wengine kufuatia ombi la kuangazia suala hilo.Hatua hii inajiri baada ya mahakama kuelezwa kuwa Gachagua alimwandikia barua mkurugenzi wa mashtaka ya…