Zoezi la kuwapiga msasa mawaziri ishirini na wawili walioteuliwa na rais William Ruto limeng’oa nanga hivi leo katika majengo ya bunge.Musalia Mudavadi ambaye ameteuliwa kama mkuu wa mawaziri alikuwa wa kwanza kupigwa msasa ambapo ameelezea baadhi ya mabadiliko aliyoleta kwenye wizara ya…
Wachuuzi katika soko la Gikomba walikumbwa kwa mara nyingine na mkasa wa moto Jumamosi 15.10.2022, baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya soko hilo. Hata ingawa idara ya kukabiliana na mikasa katika jiji la Nairobi ilifanikiwa kuudhibiti moto huo, wachuuzi wa Gashosho…
Naibu rais Rigathi Gachagua kwa mara nyingine amesema kuwa serikali ya rais William Ruto haitazitumia asasi za usalama kuwakandamiza wapinzani wao. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa bwawa la Thiba katika kaunti ya Kirinyaga,Gachagua amesema kuwa hawana mpango wa kuwatumia machifu…
Rais William Ruto amemteua Amin Ibrahim Mohammed kama mkurugenzi mpya wa idara ya DCI majuma matatu baada ya George Kinoti kujiuzulu kutoka kwa wadhfa huo.Mohammed alikuwa miongoni mwa watu watatu waliochaguliwa baada ya tume ya huduma kwa polisi NPS kuwahojiwa watu kumi…
BY Isaya Burugu,Oct 15,2022-Viongozi wakidini katika kaunti ya Uasin Gishu wanamtaka seneta wakaunti hiyo Jackson Mandago kujiepusha na kutoa matamshi yanaweza leta migawinyiko kati ya wanaoishi katika kaunti hiyo. Viongozi hao badala yake wanamtaka Mandago kufanya kazi aliyopewa.Wakiongozwa na askofu Paul Gathuo,…
BY Isaya Burugu,Oct 15,2022-Rais Wiliam Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua hivi leo waanaongoza hafla ya ufunguzi wa bwawa la Thiba kaunti ya Kirinyaga katika hatua inayotarajiwa kuwafaa pakubwa wakulima wa mpunga kutoka eneo hilo. Kwa mjibu wa Daniel Nzwenzwe ambaye ni…
By Isaya Burugu ,Oct 15,2022-Rais William Ruto amemteua Amin Mohamed Ibrahim kama mkurugenzi mkuu wa idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI.Uteuzi huo umechapishwa kwenye notisi katika gazeti rasmi la serikali ya hiyo jana. Kabla ya uteuzi huo Ibrahim alikuwa akiongoza kitengo…
Takriban watumizi milioni 11 wa kadi za simu nchini wako katika hatari ywa kufungiwa laini zao, baada ya kukamilika kwa muda uliotolewa kwa watumizi wa kadi hizi kuzisajili upya siku ya Jumamosi 15.10.2022. Mamlaka ya mawasiliano nchini (CAK) iliagiza wahudumu wa mitandao…