Hussein Mohammed

Utuezi wa Rais William Ruto: Hussein Mohammed, David Ndii na Josephat Nanok wakitunukiwa.

Rais William Ruto amefanya uteuzi wa maafisa 10 wapya katika Afisi Kuu ya Rais Ijumaa 14.10.2022. Katika orodha ya uteuzi huo, Rais amemteua aliyekuwa mwanahabari wa Runinga ya Citizen Hussein Mohammed kama msemaji wa Ikulu huku mwanauchumi David Ndii akiteuliwa kuwa Mwenyekiti…

Familia 2,500 katika kaunti ya Narok kutabasamu baada ya kupata chakula cha msaada .

Jumla ya familia 2,500 katika kaunti hii ya Narok zina sababu ya kutabasamu baada ya shirika la msalaba mwekundu kusambaza chakula cha msaada kwa familia hizo. Kaunti ya Narok ni miongoni mwa kaunti 29 ambazo zimeathirika kutokana na ukame.Katibu mkuu wa shirika…

Haji abadili msimamo wake na kuondoa ombi la kutaka kusitishwa kwa kesi ya ufisadi dhidi ya aliyekuwa gavana wa Samburu Moses Lenolkulal.

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji amebadili msimamo wake na kuondoa ombi la kutaka kusitishwa kwa kesi ya ufisadi dhidi ya aliyekuwa gavana wa Samburu Moses Lenolkulal katika mahakama ya Milimani. Lenolkulal alikabiliwa na kesi ya ufujaji wa kima cha shilingi…

Ruto aongoza hafla ya kuwakumbuka wanajeshi waliofariki wakilinda nchi

BY ISAYA BURUGU ,OCT 14,2022-Rais Wiliamu Ruto  hivi leo ameongoza hafla ya kuwakumbuka wanajeshi waliopoteza Maisha yao wakati wakilinda taifa hili katika nyakati tofauti. Hafla hiyo imeandaliwa katika kambi ya kijeshi ya Laikipia Airbase. Katika hafla hiyo rais amezindua sanamu iliyo na…

Mlinzi wa mama Ida Odinga auawa kwa kupigwa risasi Kisumu

By Isaya  Burugu ,Oct 14,2022-Mlinzi  Mama Ida Odinga ameuuwa kwa kupigwa risasi.Afisa huyo wa polisi alipigwa risasi jana usiku katika mtaa wa Uzima huko Kisumu. Jina la marehemu lilibanua hadi familia yake ifahamishwe kwanza kuhusu kifo chake.Mshukiwa ambaye anasemekana kuwa meneja wa…

Moitalel Kenta - Msitu wa Mau

Mahakama Imegonga Ndipo Katika Uamuzi Dhidi ya Kurudi kwenye Msitu wa Mau – Moitalel Ole Kenta

Aliyekuwa mbunge wa Narok Kaskazini Moitalel Ole Kenta amefurahia uamuzi uliotolewa na mahakama kuu ya Narok, ukiidhinisha hatua ya kurufushwa kwa wananchi kutoka katika msitu wa Mau. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya uamuzi huo wa Alhamisi 13.10.2022, Kenta…

Photo of SGR Train in Kenya

Waziri Ukur Yattani Asema Kenya Haijakataa Kulipa Deni la SGR.

Waziri wa hazina ya kitaifa Ukur Yatani amejitokeza na kuweka wazi kuwa taifa la Kenya halijawahi kukataa au kuchelea katika ulipaji wa mkopo wowote uliokopwa kutoka kwa wakopeshaji wa nje na mataifa ya kigeni. Yattani ametoa kauli hizi baada ya chapisho la…

Chama cha mawakili chamtaka Noordin Haji kutoa sababu za kutupilia mbali kesi za ufisadi.

Chama cha mawakili LSK sasa kimemtaka mkurugenzi wa mashataka ya umma Noordin Haji kutoa sababu za kutupilia mbali kesi za ufisadi zilizokuwa zikiwakabili viongozi wa kisiasa ambao wameteuliwa kwa nyadhifa za mawaziri. Haya yanajiri siku moja baada ya afisi ya mkurugenzi wa…