Mahakama kuu ya Narok imetoa uamuzi kuwa hakuna mtu atakayerejea katika msitu wa mau .katika uamuzi ulitolewa na majaji watatu wa mahakama ya Narok akiwemo jaji Muhammad Kulow ,Jaji John Mutungi na jaji George Ong,ondo wamesema kwa kauli moja kesi iliyofikishwa mahakamani…
BY ISAYA BURUGU ,OCT 13,2022-Mahakama kuu imetupilia mbali, kesi ya kuharibia jina iliyokuwa iiliyowasilishwa mahakamani na kampnuni ya maziwa ya Brookside Dairy limited dhidi ya mbunge wa Nyali Mohamed Ali. Jaji Hedwig Ongudi amesema kuwa kesi hiyo iliyokuwa imewasilishwa mbele ya kitengo…
By Isaya Burugu,Oct 13,2022-Kenya imeungana na uliwmwengu leo kuadhimisha siku ya kuona .Ni siku inayoadhimishwa wiki ya pili ya mwezi Oktoba. Kama sehemu ya maadhimisho hayo,Madakitari wa macho wamefika katika stendi ya magari mjini Kisiii kuweza kuwahamazisha madereva na wahudumu wa magari…
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameahidi kuwa wakenya hawatakua na haja ya kuhofu kuhusu kufurushwa makwao kiholela au kubomolewa makaazi yao nyakati za usiku. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa shule ya Komarok jijini Nairobi alikoandamana na Rais William Ruto, Gachagua amesema…
Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imetoa mwaliko kwa wananchi wenye nia ya kuwania nafasi ya makatibu waratibu katika wizara mbalimbali (CAS) kutuma maombi yao ya nafasi hizi kabla ya Oktoba 27. Katika taarifa iliyochapishwa Jumatano 12.10.2022 na mwenyekiti wa PSC Anthony…
Waziri mteule wa masuala ya Jinsia Aisha Jumwa amepata afueni baada ya afisi ya mkurugenzi wa mashataka ya umma kuondoa kesi ya ufisadi dhidi yake. Jumwa alikuwa akikabiliwa na kesi ya ufisadi ya shilingi milioni kumi na tisa,pesa anazodaiwa kuziiba kutoka kwa…
Magavana wamekongamana katika eneo la Naivasha kaunti ya Naruku ili kupanga mikakati ya miaka mitano ijayo sawa na kujadili masuala ya bajeti na madeni. Mwenyekiti wa baraza la magavana na ambaye pia ni Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amesema kuwa ni wajibu…
By Isaya Burugu,Oct 12,2022-Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu ametaja baraza Lake la mawaziri linalowajumuisha waliolambishwa sakafu kenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa baada ya kuwania viti mbali mbali. Baraza hilo linamujumuisha John Gatua aliyewania uwakilishi wadi wa Narok Mjini kwa…