Huku Kenya ikiadhimisha siku ya utamaduni, baadhi ya wananchi wachanganyikiwa kuhusu kinachosherehekewa hivi leo.

Huku Kenya ikiadhimisha siku ya utamaduni, baadhi ya wananchi wamechanganyikiwa kuhusu kinachosherehekewa hivi leo.Kuna wale ambao wanasema kuwa leo ni siku ya Huduma ila kuna wale ambao wanadai kuwa leo ni siku ya utamaduni. Wakizungumza na waandishi wa habari,wananchi hao wamesema kuwa…

Visa vya matatizo ya kiakili vyaongezeka nchini huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya afya ya kiakili.

Kenya imeungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya afya ya akili huku visa vya watu walio na matatizo ya akili vikiripotiwa kuongezeka.Humu nchini inakisiwa kati ya watu 6 watano wana tatizo la kiakili. Sababu mbali mbali zinaripotiwa kusababisha matatizo ya kiakili…

Rais Wiliam Ruto akutana na kufanya mazungumzo na rais Samia Suluhu Hasan wa Tanzania

By Isaya Burugu,Oct 10,2022- Rais  William Ruto hivi leo amekutana na kufanya mazungumzo kana rais wa Tanzania Samia Suluhu katika ikulu ya Dare salaam. Kwenye mkutano huo uliyohudhuriwa pia na mawaziri mbali mbali kutoka mataifa haya mawili,Rais  Ruto na Samia wamekubaliana kuhusu…

ZIARA YA RUTO TANZANIA: Rais Ruto Kuandaa mazungumzo na mwenzake wa Tanzania Samia Suluhu leo Jumatatu

By Isaya Burugu,Oct 10,2022-Rais  William Ruto hivi leo jumatatu anatarajiwa kuandaa mazungumzo na mwenzake wa Tanzania Samia Suluhu.Rais Ruto amewasili nchini Tanzania jana kwa ziara  ya siku mbili  baada ya kuhudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa taifa la…

Rais William Ruto yuko nchini Uganda kwa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru.

Rais William Ruto yuko katika taifa jirani la Uganda, ambapo anatarajiwa kuwa miongoni mwa viongozi watakaohudhuria hafla ya maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru katika taifa hilo. Kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Ruto aliondoka nchini adhuhuri ya leo na…

Kaunti ya Narok kuwa Mwenyeji wa Makala ya 12 ya Mashindano ya WASCO mwaka ujao.

Makala ya 12 ya mashindano ya WASCO yanayohusisha kampuni za usambazaji wa maji kutoka maeneo yote ya taifa yataandaliwa katika Kaunti ya Narok mwezi Aprili 2023. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa maji na usafi wa mazingira katika kaunti ya Narok…

Mikakati ya Kudhibiti msongamano Nairobi

 By Isaya Burugu,Oct 08,2022-Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja  ameagiza kubuniwa kwa kamati  ya maswala ya uchukuzi itakayojumuisha wahusika  mbali mbali wa sekta hiyo  itakayosimamia mikakati ya kupanga mipango ya kukabili tatizo la msongamano wa magari katikati mwa jiji. Sakaja amehoji kuwa mashirika…

Wito wa Upanzi wa miti

By Isaya Burugu,Oct 8,2022-Shirika la kulinda misitu nchini limetoa wito kwa wakulima kupanda miti mbali mbali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Afisa msimamizi wa shirika hilo kaunti ya taita Taveta, Flavian Otieno anasema wanalenga kuwahamasisha wakulima kuhusu umuhimu wa upanzi wa…