By Isaya Burugu,Oct 8,2022-Aliyekuwa mbunge wa Ainabkoi William Chepkut ameaga dunia.Kwa mjibu wa familia yake iliyodhibitisha kifo hicho,Chepkut amefariki leo asubuhi. Mbunge huyo wa zamani anasemekana kuzirai akiwa nyumbani kwake na kupelekwa katika hospitali ya Mediheal iliyoko eneo la parklands ambapo madakitari wametangaza…
Waziri wa usalama wa Ndani Dkt. Fred Matiang’i ametangaza kuwa siku ya Jumatatu, Oktoba 10, 2022 kuwa likizo ya umma kuwaruhusu wananchi kuiadhimisha siku ya Utamaduni humu nchini. Waziri Matiang’i, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari mapema leo, alisema siku hiyo…
Mahakama ya upeo nchini imetoa uamuzi kuhusu uwezo wa maseneta kuwapiga msasa magavana juu ya ukusanyaji wao wa ushuru katika kaunti na vilevile matumizi yao ya fedha wanazokusanya na wanazopokea kutoka katika serikali kuu. Maseneta sasa wana mamlaka ya kuwaita magavana wa…
Mbunge wa Sirisia John Waluke amejisalimisha kwa polisi baada ya mahakama kuu kuidhinisha kifungo chake cha miaka 67 gerezani kutokana na ulaghai wa shilingi milioni 297. Haya yanajiri saa 24 baada ya Jaji Esther Maina kutupilia mbali rufaa yake, na kuamua kuwa…
By Isaya Burugu,Oct 7,2022-Maafisa wa polisi wamekuwa wakifanya oparesheni kurejesha mbuzi walioibwa katika Kijiji cha Loikasi mjini Maralal kaunti ya Samburu. Hamsini kati ya mbuzi mia tatu na nane walioibwa mwezi jana wamepatikana. Kwa Hisani Wafugaji katika eneo hilo wanaitaka serikali…
BY Isaya Burugu,Oct 7,2022– Maafisa wa polisi katika kaunti ya Siaya wanachunguza kisa ambapo maiti ilipatikana imezikwa kwenye boma la afisa wa ardhi Philip Onyango Ogutu miezi minne baada ya familia kuripoti kutoweka kwake. Kwa mjibu wa naibu kamanda wa polisi katika…
Kamati ya usalama katika kaunti ya Narok inatarajiwa kuzuru msitu wa Mau siku ya Jumatano 12,Oktoba 2022, kwa ziara ya kiusalama katika msitu huo. Kamishena wa Kaunti ya Narok Bw. Isaac Masinde, amesema kuwa kamati hiyo itatumia ndege kupaa juu ya msitu…
Mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwah ndiye Kiongozi mpya wa Wengi katika Bunge la Kitaifa, baada ya spika wa bunge hilo Moses Wetangula kutoa uamuzi kuhusu mrengo ulio na wawakilishi wengi bungeni