BURIANI WENDY

  BY: BRIGIT AGWENGE/5TH OCT 2022-Muuguzi wa Kenya aliyekufa maji wakati akiogelea kwenye bwawa nchini Canada anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Motonto, kaunti ya Kisii.Hellen Wendy Nyabuto alikuwa akishirikisha marafiki wake katika kipindi cha moja kwa moja kwenye Facebook mnamo Agosti 18 wakati…

MASLAHI YA WALIMU

  BY: BRIGIT AGWENGE,5TH OCT 2022-Kenya inaungana na ulimwengu leokuadhimisha siku ya walimu huku wito ukitolewa kwa  tume ya kuajiri walimu nchini TSC kuorodhesha kaunti nzima ya Narok kama mojawapo ya kaunti zilizo na ugumu kufanyia kazi.Hatua hii itawawezesha  walimu wanaofunza kwenye…

KILIO CHA HAKI

BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT,2022-Jamii ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Taita taveta   inatisha kufanya mandamano wiki ijayo wakati wawakilishi wadi watakapokuwa wakiapishwa kwa kukosa mwakilishi wawatu wenye ulemavu. Wamesema licha ya kufanya kampeni kwa vyama vikubwa vya kiasiasa  orodha ya…

Shukrani za Wajackoya

BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT,2022-Mgombea urais wa Roots Party katika kinyang’anyiro cha Agosti 9  George Wajackoyah amemaliza kukarabati nyumba ya marehemu babake. Siku ya Ijumaa Wajackoyah alionyesha nyumba ya zamani ya marehemu Tito Jakoya Odhiambo na ile mpya iliyopanuliwa na kuboreshwa kwa vioo.…

Usalama kwa watoto

BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT 2022-Huku shule zikitarajiwa kufungwa kwa likizo fupi kabla ya kufunguliwa kwa muhula wa tatu na wa mwisho mwaka huu,wazazi wametakiwa kuwapa ushauri nasaha Watoto wao. Mwenyekiti wa chama cha kutetea maslahi ya wazazi kaunti ya Tranzoia ,Welington Waliaula,amedokeza…

MIPANGO YA MAZISHI/MAITAI

BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT,2022-Mazishi ya aliyekuwa mwanzilishi wa baraza la wazee la jamii ya wamasai Marehemu John Ole Maitai ambayo yalikuwa yafanyike hivi leo yameweza kuairishwa hadi Alahamisi ijayo. Haya ni kwa mjibu wa familia ya Mwenda zake ikiongozwa na Emanuel Ole…