MIPANGO YA MAZISHI/MAITAI

BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT,2022-Mazishi ya aliyekuwa mwanzilishi wa baraza la wazee la jamii ya wamasai Marehemu John Ole Maitai ambayo yalikuwa yafanyike hivi leo yameweza kuairishwa hadi Alahamisi ijayo. Haya ni kwa mjibu wa familia ya Mwenda zake ikiongozwa na Emanuel Ole…