Kikao cha Maseneta wote kitaamua hatima ya Naibu Rais Rigathi Gachagua wiki ijayo. Hii ni baada ya hoja ya kutaka kuundwa kwa kamati maalum ya wanachama 11 kuchunguza mashtaka dhidi ya naibu rais kukosa kuungwa mkono. Kiongozi wa Wengi katika bunge la Seneti…
Taifa la Kenya jana jioni lilishuhudia historia baada ya bunge la kitaifa kwa mara ya kwanza kumng’atua mamlakani naibu wa rais. Baada ya kujadiliwa kwa hoja ya kumtimua Rigathi Gachagua na yeye kuwasilisha ushahidi wake bungeni, wabunge 281 walipiga kura kuunga mkono…
Mahakama Kuu imesitisha utekelezwaji wa mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu hadi kesi iliyowasilisha mahakamani itakaposikilizwa na kuamuliwa. Kesi hiyo, iliyowasilishwa Oktoba 13, 2023, na Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KHRC), Kikundi cha Elimu Bora, Boaz Waruku, na Baraza…
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula amekiri kupokea hoja ya kumbandua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua iliyowasilishwa bungeni na mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse. Wetang’ula alithibitisha kuwa baada ya kuichunguza, hoja hiyo inakidhi matakwa yanayohusiana na fomu na kiwango…
Kenya imepata inspekta jenerali mpya baada ya miezi miwili kufuatia kuapishwa na kusimikwa rasmi kwa Douglas Kanja hii leo katika ikulu ya Nairobi. Kwenye hotuba yake wakati wa hafla hiyo ya kusimikwa kwa Kanja na ambayo imehuduriwa na viongozi mbalimbali serikalini, mkuu…
MCA katika Bunge la Kaunti ya Nyamira wamewasilisha mswada wa kumbandua Gavana Amos Nyaribo madarakani kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na ukiukaji wa Katiba. Mswada huo, uliowasilishwa na Mwakilishiwadi mteule wa chama cha Wiper Evans Juma Matunda, unalenga kumbandua…
Taifa la Kenya leo limeungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukabiliana na Kujitia Kitanzi au kujitoa uhai. Katika maadhimisho haya, wito umetolewa kwa mashirika ya umma na binafsi nchini kuimarisha upatikanaji wa msaada unaohitajika kwa afya ya…
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia kifo cha wanafunzi 18 wa Shule ya Msingi ya Endarasha Hillside Academy, walioteketea kwenye mkasa wa moto usiku wa kuamkia Ijumaa. Katika taarifa yake ya rambirambi kwa familia za waathirika, Rais…