Maafisa wa polisi katika kaunti ya Mombasa wamefanikiwa kuwakamata washukiwa tano wanaodaiwa kuhusika na wizi katika maeneo ya Sargoi na vitongoji vyake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Upelelezi wa Jinai nchini (DCI), maafisa wa polisi walifanikiwa kuwakamata washukiwa hao…
BY ISAYA BURUGU,5TH DEC 2023-Kizazaa kimeshuhudiwa leo Bungeni wakati wabunge walipoandaa matembezi kuhusu kushindwa kwa Serikali kutoa pesa zilizokusudiwa kwa Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneo Bunge (NG-CDF). Wabunge hao ambao wanatarajiwa kuendelea na mapumziko siku ya Alhamisi, walimaliza kikao cha…
BY ISAYA BURUGU,5TH DEC 2023-Hazina ya husler imeweza kutoa mkopo wa kima cha shilingi bilioni 41 kwa zaidi ya wakenya milioni 22 tangu kuanzishwa kwake kwa mjibu wa takiwmu za hivi punde kutoka kwa serikali. Hazina hiyo ambayo imepokea shutuma na sifa…
Mdhibiti wa Bajeti nchini Margaret Nyakang’o ameachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni 2 na chaguo la mdhamini wa kiwango sawia au dhamana ya shilingi 500,000 pesa taslimu. Nyakang’o anayeshtakiwa pamoja na watu wengine 10 alikamatwa asubuhi ya leo mjini Mombasa na kufikishwa…
Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi 20,000 baada ya kuhojiwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi (DCI) asubuhi ya leo. Kuachiliwa huko kunafuatia madai ya kumtishia maisha Hakimu Gladys Kiama wa Mahakama ya Kakamega. Bw. Salasya, aliyewasili…
BY ISAYA BURUGU 4TH DEC 2023-Mshtuko umetanda katika kijiji cha Kianjege huko Ndia, Kaunti ya Kirinyaga leo baada ya mwanamume mwenye umri wa miaka 47 ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi kumuua rafiki yake mwalimu mstaafu wa shule ya msingi mwenye…
BY ISAYA BURUGU,4TH DEC,2023-Hafla ya kuadhimisha siku ya watu wanaoishi na ulemavu kimataifa kwenye kaunti ya Narok imeadhimishwa katika shule ya msingi ya Olesankale mjini Narok. Afisa anayesimamia walemavu kaunti ya Narok Julius Ntayia akizungumza katika kwenye hafla hiyo ,bwana Natayia amesema…
Baraza la Waislamu humu nchini (Supkem) limesema kwamba ripoti ya Kamati ya Kitaifa ya Mazungumzo ilifeli kuafiki matarajio ya Wakenya, hasa katika kuangazia namna za kuimarisha gharama ya maisha nchini. Mwenyekiti wa baraza hilo Hassan Ole Naado katika kikao na waandishi wa…