Rais Ruto

Rais Ruto Aanza Ziara ya Siku 2 Nchini India.

Rais William Ruto ameanza ziara ya siku mbili katika taifa la India, baada ya kukamilika kwa kwa ziara yake kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wa COP28 nchini Dubai. Kulingana na taarifa iliyochapishwa na msemaji wa ikulu Hussein Mohammed, Kiongozi wa taifa…

Maambukizi ya HIV nchini yapungua kwa asilimia 78% tangu 2013.

Huku ulimwengu unapoadhimisha siku ya ukimwi duniani hivi leo, wakaazi wa kaunti ya Narok wamepongeza juhudi zinazofanywa na serikali katika  kuwasaidia waathiriwa wa ugonjwa huo. Kwa mjibu wa  wakaazi wa kaunti hii waliozungumza na idhaa ya radio Osotua,wamesifia serikali ya kitaiafa  kwa…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya ugonjwa wa ukimwi duanini

BY ISAYA BURUGU,1ST DEC,2023-Kenya inaungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya ugonjwa wa ukimwi duniani.Maadhimisho hayo huangazia juhudi zilizopigwa katika kukabiliana na kuenea kwa virusi vya ukiwmi na ugonjwa wa Ukimwi.Kauli mbiu  ya siku ya ukimwi mwaka huu ni  ‘Jumuiya ziongoze’,…

NTSA Kuanza Msako Dhidi ya Magari ya Binafsi Yanayoingili Uchukuzi wa Umma.

Waziri wa Uchukuzi nchini, Kipchumba Murkomen, ameiagiza Mamlaka ya Trafiki na usalama barabarani (NTSA) kuanzisha msako dhidi ya magari ya kibinafsi yanayojihusisha na uchukuzi wa umma bila kibali. Akizungumza siku ya Alhamisi katika mkutano na wamiliki wa matatu nchini ulioandaliwa katika ukumbi…

Rais William Ruto atarajiwa kuhudhuria Kongamano la COP 28 nchini Dubai.

Rais William Ruto anatarajiwa kuondoka nchini kuhudhuria Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabia nchi almaarufu COP 28 huko Dubai. Ruto, ambaye amekuwa kiongozi wa Afrika katika wito wa kuchukuliwa hatua za hali ya hewa, atakuwa akitetea Kenya na ajenda…

Maafisa watatu wa polisi wa trafiki wakamatwa wakichukua hongo kutoka kwa wendesha magari Naivasha

 BY ISAYA BURUGU,30TH NOV,2023-Maafisa watatu wa polisi wa trafiki wamekamatwa leo asubuhi katika kile ambacho maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na ufisadi walitaja kama eneo maarufu la kukusanya rushwa katika Barabara ya Mai Mahiu karibu na makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti…

Hazina ya husler yaadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake

BY ISAYA BURUGU,30TH NOV,2023 Rais Wiliam Ruto amesema Serikali  itawazawadi  Wakopaji wa Hustler Fund kwa 50% ya Akiba Yao.Vilevile Wakenya ambao wameweka akiba na Hazina ya Ushirikishwaji wa Kifedha, pia inajulikana kama Hustler Fund, watapata nyongeza ya asilimia 50 ya akiba yao…

Serikali yakanusha kuwepo mpango wa kuwabandikiza watoto vibandiko vya kielektroniki mwilini mwao katika ugavi wa vitambulisho vya kidijitali

BY ISAYA BURUGU 29TH NOV 2023-Serikali imekanusha  madai kwamba watoto wachanga watapandikizwa vibandiko vya kielektroniki mwilini mwao katika ugavi wa vitambulisho vya kidijitali. Katibu Mkuu wa Uhamiaji na Huduma kwa Raia Prof Julius Bitok, katika taarifa yake kwa vyumba vya habari, aliondoa…