Mungano wa Azimio la umoja wapendekeza kuandaliwa kura ya maamuzi kubuni nyadhifa za waziri mkuu na kiongozi wa upinzani

BY ISAYA BURUGU 29TH NOV 2023-Mkutano wa wabunge waliocchaguliwa kwa tiketi ya vyama vinavyounda mungano wa Azimio la Umoja one Kenya umeidhinisha ripoti ya kamati ya mazungumzo yakitaiafa iliyongozwa na Kimani Ichungwah na Kalonzo Musyoka. Kinara wa Azimio Raila Odinga ameielezea ripoti…

Waajiri wote watakaokosa kulipa ushuru wa nyumba watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Waziri wa Ardhi, makazi na mipangilio ya Miji Alice Wahome, amesema kwamba waajiri wote watakaokosa kulipa ushuru wa nyumba watachukuliwa hatua kali za kisheria sawa na kupigwa faini. Usemi wa waziri huyo unajiri siku moja baada ya mahakama kuu nchini kuharamisha ushuru…

MAHAKAMA YA MILIMANI

Mahakama Yakataa Kusimamisha Mchujo wa Shule za Upili kwa Waliofanya KCPE.

Mahakama kuu nchini imedinda kutoa agizo la kusitisha zoezi la mchujo wa shule za upili kwa wanafunzi waliokamilisha mtihani wa KCPE mwaka huu. Katika uamuzi wake siku ya Jumatano, Jaji Lawrence Mugambi wa Mahakama Kuu ya Milimani ameamuru kwamba kesi zilizowasilishwa kuhusu…

Naibu Rais Rigathi Gachagua aitaka Idara ya Mahakama kuzingatia athari pana kwa jamii kutokana na uamuzi wake wa kutangaza ushuru wa nyumba kuwa kinyume na katiba

BY ISAYA BURUGU,28TH NOV,2023-Naibu Rais Rigathi Gachagua ameitaka Idara ya Mahakama kuzingatia athari pana kwa jamii kutokana na uamuzi wake wa kutangaza ushuru wa nyumba kuwa kinyume na katiba. Akizungumza hivi leo  alipofungua rasmi Kongamano la 17 la kila mwaka la Taasisi…

Rais Wiliam Ruto asema mradi wa nyumba za bei nafuu uliozinduliwa na utawala wakekufikia sasa umebuni nafasi za kazi 120,000

 BY ISAYA BURUGU 28TH NOV 2023-Rais William Ruto amesema mradi wa nyumba za bei nafuu uliozinduliwa na utawala wake mapema mwaka huu kufikia sasa umebuni nafasi za kazi 120,000. Rais ambaye alizungumza leo  wakati wa Kongamano la Kimataifa la Vyama vya Wafanyakazi…

Mahakama kuu nchini yaharamisha ushuru wa nyumba wa mwaka 2023.

Jopo la majaji watatu wa Mahakama kuu nchini hii leo walitoa uamuzi kuhusu kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023. Majaji hao ambao ni Jaji David Majanja, Jaji Christine Meoli na Lawrence Mugambi, waliwasilisha uamuzi kuhusu vipengee mbalimbali kwenye kesi…

Serikali yasema watu 76 wamepoteza maisha kufuatia mvua ya Elnino inayoendelea kushuhudiwa nchini

 BY ISAYA BURUGU,27TH NOV 2023-Takriban Wakenya 76 wameuawa na mvua inayoendelea ya El Nino ambayo imesababisha maafa kote nchini kutokana na mafuriko, maporomoko ya udongo na majanga yanayohusiana nayo. Msemaji wa Ikulu Hussein Mohamed amesema kuwa Baraza la Mawaziri, katika kikao cha…

Gavana Natembeya sasa amlaumu naibu rais Rigathi Gachagua kwa uhusiano mbaya kati yake na naibu wake

BY ISAYA BURUGU,27TH NOV 2023-Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya sasa amemhusisha Naibu Rais Rigathi Gachagua na mzozo kati yake na Naibu Gavana Philomena Kapkory. Natembeya alimlaumu Gachagua kwa vita vikali kati yao kwa miezi kadhaa sasa akisema ziara ya Naibu Rais…