Sherehe zaendelea katika shule mbali mbali Narok kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya mtihani wa KCPE hiyo jana

BY ISAYA BURUGU,24TH NOV,2023-Siku moja baada ya matokeo ya mtihani wakitaifa  wa darasa la nane mwaka huu KCPE kutangazwa ,watainiwa,wazazi na walimu wakuu wa shule mbali mbali nchini wanazidi kusherehekea ufanisi waliosajili katika mtihani huo. Hali ni kam ahiyo katika kaunti hii…

Ntutu Kina mama Narok

Gavana Ntutu Awataka Kina Mama Kuongoza Vita Dhidi ya Mimba na Ndoa za Mapema

Gavana wa Kaunti ya Narok, Patrick Ntutu, ametoa wito kwa kina mama katika jamii ya Maa kuchukua jukumu kubwa katika kulinda watoto na hasa wale wa kike dhidi ya mimba na ndoa za mapema, hususan wakati huu wa likizo ndefu. Akizungumza wakati…

Michael Warutere mtahiniwa bora kwenye matokeo ya KCPE atarajia kujiunga na shule ya upili ya Mang’u.

Michael Warutere ameibuka mtahiniwa bora zaidi katika mtihani wa Cheti cha Elimu ya Msingi Kenya (KCPE) 2023 akiwa na alama 428 kati ya 500. Warutere, ambaye alifanya mitihani yake ya kitaifa katika shule ya Riara Springs jijini Nairobi, alielezea kutokuamini kwake habari…

Matokeo ya Tathmini ya mtihani wa KPSEA 2023 kutolewa mwaka ujao

BY ISAYA BURUGU,23RD NOV,2023-MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Mitihani nchini (KNEC), David Njengere, amesema utiaji wa alama za Cheti cha Elimu ya Msingi nchini (KCPE) ulipewa kipaumbele kuliko Tathmini ya Elimu ya Shule ya Msingi ya Kenya (KPSEA) ili…

Mwanafunzi bora kwenye KCPE 2023 apata alama ya 428

BY ISAYA BURUGU,23TH NOV 2023-Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ametanagza rasmi Matokeo ya mtihani wa Cheti cha Elimu ya Msingi ya 2023 (KCPE) hivi leo. Mtahiniwa bora zaidi katika mitihani huo  wa mwaka huu  alikuwa na wastani wa alama 428.Kulingana na CS,…

Ann Njeri akosa kufika bungeni huku uchunguzi wa shehena ya mafuta ya shilingi bilioni 17 ukiendelea

BY ISAYA BURUGU 22ND NOV,2023-Ann Njeri Njoroge mwanamke aliye kwenye mzozo wa uagizaji wa mafuta ya shilingi bilioni 17 amekosa kufika mbele ya kamati ya kawi ya bunge la kitaifa huku wakili wake akisema kuwa ni mgonjwa na hawezi tembea. Kamati ya…

Seneta wa Nandi Samson Cherargei atimuliwa kutoka seneti kwa kutatiza kipindi cha waziri Murkomen

BY ISAYA BURUGU,22ND NOV,2023-Seneta wa Nandi Samson Cherargei hivi leo amefukuzwa nje ya Seneti wakati wa hafla ya Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen. Katika video za  kikao hicho inamwonyesha Murkomen akijibu swali kuhusu fidia ya maskwota anaposimama na kisha spika, Seneta Abdulkadir…

KNCHR yaelezea wasiwasi wake kuhusu mauaji ya kiholela na visa vya watu kutoweka nchini.

Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini (KNCHR) imeelezea wasiwasi wake kuhusu mauaji ya kiholela na visa vya watu kutoweka nchini. Mwenyekiti wa tume hiyo Roseline Odede amesema matukio hayo yameendelea kukiuka na kutishia haki ya kuishi na kuongeza kuwa katika…